![Carlie Bronze - Go Lala](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0D/F9/7B/rBEeNF3WRMiAZ5xrAAELa78zCTE38.jpeg)
Carlie Bronze - Go Lala Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Carlie Bronze - Go Lala - Carlie Bronze
...
aaaihh
mmmmh mmmmh mmmmh
zungu (zungu zungu) beat
moyo wangu mabanoni,nalifikiria
penzi la tai shingoni,kulining'inia
nishajitafuta sioni,vipi ntaridhia
mi sio ka wale wasomi,walokuzimia
mmmh oooh
mimi bado bado
kinachofanya unipende sijui
bado bado nawaza usiku na asubuhi
bado bado
kinacho fanya unipende sijui
bado bado
labda uniambie we mwenyewe
go lala go laaa ,aahi yeeee
go lala go laaa (we mwenyewe)
go lala go laaa (si uniambie)
go lala go laaa
aaaee aaah leleleeee
aaaaah leleleee aaah
acha nikae kimya
nikishaa penda siigizi
nazamaga kinaaa
mwenzako moyo wangu nyambizi
ila ndo bahati sinaaa
hodari wakutoa japo usingizi
natektea shinaa
yananikata mizizi
mmmh oooh
mimi bado bado
kinacho fanya unipende sijui
bado bado nawaza usiku na asubuhi
bado bado
kinacho fanya unipende sijui
bado bado
labda uniambie we mwenyewe
go lala, go laaa ,eeeh (go lala tell me)
go lala, go laaa aaah(sasa mbona husemi)
go lala, go laaa hiii (si uniambie)
go lala, go laaa aaahi
je rangi ya koko, ama kifua
miondoko ya kuzuzua
ama voko ndo lakuua, uaaa
mmmh basi sema ni macho
kama kibuaaa
ambacho cha kuchukua
mwenzako wanataka jua kujua mieee
eeeeheee eheeee aaaaya
yuzoo baba
oooonaaaa aaaaayaaa