Sipotei Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Sipotei - Watu Fresh
...
(Welcome)
Hata nilewe vipi napakumbuka kwangu hata sipotei sipotei
Hata nilewe vipi napakumbuka kwangu hata sipotei sipotei sipotei
Hata nilewe vipi napakumbuka kwangu hata sipotei sipotei
Mwenzenu nakata mitungi mpaka kazini naingia na hang over
simu ziite wanangu msiniache mwenzenu napendaga kukesha
Kama ndelemo chereko mimoshi ya shisha tupokezane vibe
(Let′s go go go go)
Pombe sio maziwa tena mbaya ukichanganya
Ukijichanganya itakufanyaaa mchezo mbaya
Wee ex ex don't touch me hata nikilewa don′t touch me
Don't touch me, don't touch me
Wee ex ex don′t touch me
Oyaah mwanangu kunywa (kunywa)
unachopenda kunywa usijibane kunywa (kunywa)
Toa chuma weka chuma (kunywa)
Ee mwanangu kunywa (kunywa)
hatudaiwi kunywa (kunywa)
Kwa pesa yetu kunywa (kunywa)
Eh tunakunywa (kunywa)
Hata nilewe vipi napakumbuka kwangu hata sipotei sipotei
Hata nilewe vipi napakumbuka kwangu hata sipotei sipotei
Hata nilewe vipi napakumbuka kwangu hata sipotei sipotei
Baba la baba baba niko bar, piga songi la Rabadaba dabada
Pombe zipande zishuke kwa chini
Nitambe nicheze, bora nile mpepepe mpepepe
Mafekeche mafekeche mafe,
Kila mtu ana pisi yake, sigara tunazimia sheli
Sisi tunalewaa eh, sisi tunalewaaa
Oyaah mwanangu kunywa
unachopenda kunywa usijibane kunywa
Toa chuma weka chuma
Ee mwanangu kunywa hatudaiwi kunywa
Kwa pesa yetu kunywa
Eh tunakunywa
Hata nilewe vipi napakumbuka kwangu hata sipotei sipotei sipotei
Hata nilewe vipi napakumbuka kwangu hata sipotei sipotei sipotei
Hata nilewe vipi napakumbuka kwangu hata sipotei sipotei