Jina YESU Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
INTRO:
Iyee x12
ooh
iyee x12
ooh
VERSE 1:
Yupo awezaye kuokoa
Ni YESU Ni YESU
Yupo Awezaye Kutenda Makuu
Ni YESU Ni YESU
Yeye Mwana Pekee wa MUNGU
Kila Goti Litapigwa Mbele Zake
Tulipewa Jina Lake Ili Tukombolewe
Kila Amwaminie Awe Na Uzima Tele
CHORUS:
Jina
Ni YESU
Jina la YESU
Ni YESU
Jina lake BWANA
Ni YESU
YEESU
Ni YESU
Jina Lenye Nguvu
Ni YESU
Jina Lenye Mamlaka
Ni YESU
Ni YESU
Jina Hilo
Ni YESU
Jina lake BWANA
Ni YESU
Jina Lake BWANA
Ni YESU
Jina Lenye Nguvu
Ni YESU
Lakomboa
Ni YESU
Ni YESU
Jina La YESU
Ni YESU
Jina Lako We BWANA
Ni YESU
Oooh
Ni YESU
INSTRUMENTAL:
VERSE 2:
Tutajapo Jina Lake
Mapepo Yakimbia
Tutajapo Jina Lakee
Watu Waokoka
Wenye Dhambi Wasafishwa Aah
Wenye Vifungo Wafunguliwa
Tutajapo Ooh
Tutajapo Jina Lake (Magonjwa)
Magonjwa Yanapona
(Na Pia Tutajapo Jina Lake BWANA)
Tutajapo Jina Lake (Vipofu)
Vipofu Wanaona
Viwete Watembea aaaah (Walokufa)
Waliokufa (eeh) Wafufuliwaa
(Ooh) Jina Hilo
BRIDGE
YESU uuh YESU
Twaita YESU
CHORUS