My Love My Bestie Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
My Love My Bestie - Tiger pboy
...
Mamy upo Sawa?
moyoni Upo sawa?
nikipata Ntala nawewe
Sitaki mi nigombane nawewe.
You're my Designer Tanakali Ya Mapenzi Nakuita ,Nikiwa nawe Napona,
nikikukosa napataga Homa aaah..
Wewe Umenifanya ning'are
Wewe Milele yote niwe Nawe.
Wewe Umenifanya ning'are
Wewe Milele yote niwe Nawe
(My Love My Sweet My Bestie
all You know she is my Bestie )×4
(Aaah Eeeh Aaah Eeh Aaah Eeh Aaah Eeh Aaah Eeh)×4
(Wewe Umenifanya ning'are
Wewe Milele yote niwe)×4
Uzuri Kabarikiwa Ooh Kiwa,
Kafunzwa Tabia njema,ooh njema
I wish kusijekucha ooh kucha
Kuna Raha kwenye Giza ooh giza.
(ukiniacha Utaniacha na Nani,
ukiondoka Ntabaki na Nani )×2
(Aah Eeh Aah Eeh Aaah Eeh Aaah Eeh Aaah Eeh )×4
(Wewe Umenifanya ning'are
Wewe Milele yote niwe Nawe)×4
(my Love My Sweet My Bestie
all you know she Is My Bestie)×4