Mama Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
It's okay
I love you mama
I miss you mama
Oohh uohhh
Hello mama na miss uwepo wako
Hello hello mama na miss upendo wako
Natamani ungekuwepo mama kuna mengi ningekuambia
Maana ya jana si ya kesho kifuani mwako mama ningetulia (oh mama)
Ulisema binadam wabaya niishi nao kwa upendo na imani
Kwenye majivu kumeanza fire tafuta vyako vya watu usivitamani
Yale ulo nihuthia (mama) yote nina yapitia (mama)
Ulinifunza vumilia (mama) naa ndo maana nakuimbia
Mamaaaaaah (kipenzi changu mama)
Mamaaaah (mama yangu mama)
Mamaaaaah (mwanao) nakupenda sana (natamani ungekuwepo mama)
Mamaaaaaah (shida za dunia)
Mamaaaah (mwanao nalia)
Mamaaaaah (oh mama) mwanao na kumiss sana
Leo mwanao nimepata kidogo natamani mama nikutunze
Tena mwanao nimepata mtoto kubadilisha diaper mama unifunze
Nikikosa unanichapa fimbo kumbe mama ilikua ni upendo
Wana kumiss Dori, Cendi, na Michael umepata mjukuu kutoka kwake Pendo
Ulisema binadam wabaya niishi nao kwa upendo na imani
Kwenye majivu kumeanza fire tafuta vyako vya watu usivitamani
Yale ulo nihuthia (mama) yote nina yapitia (mama)
Ulinifunza vumilia (mama) na ndo maana nakuimbia
Mamaaaaaah (kipenzi change mama)
Mamaaaah (Nakumiss sana)
Mamaaaaah (mwanao) nakupenda sana (natamani ungukuwepo mama)
Mamaaaaaah (mama)
Mamaaaah (myezi tisa ndani yako mama)
Mamaaaaah (oh mama ) mwanao na kumiss sana
Kipenzi changu mama ooh iyeh iyeeh