Neema Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Neema - Ruth Stephens
...
Kama si Yesu ningekuwa wapi?
Kama si Yesu ningeitwa nani?
Ningelikuwa kabrurini,
Ni kwa NEEMA yake, Niko hapa.
Chorus
Ni kwa NEEMA ya Bwana, Niko hapa
Kwa Rehema za Bwana ninasimama,
Ni kwa NEEMA Niko Hai,
Si nguvu Bali Ni kwa NEEMA yake.
Verse 2
Kama Si Yesu ningeitwa nani?
Ningekuwa napinduka, kwenye tope la dhambi,
Kama Si Yesu, Ningetupiliwa mbali
Maisha Yangu, oh oh
Ni kwa NEEMA yake