Shida Ni Nyingi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Dunia shida ni nyingi
Kwani pesa ni nini
Shida ni nyingi
Kwani pesa ni nini
Usipigane nao
Tena wala kamwe usivutane nao
Toka siku za kitambo za sila na paulo
Omba sana stress na vita weka kando
Sisemi me sio mbaya
Haja gani kujipa pressure
Huku nje mnajigamba
Kule nyumbani ni visanga
Kukosana Kugongana
Kuvutana Kutengana
Kukosana Kugongana
Kuvutana Kutengana
Wapendana wapendana wapendana naye
Wabishana wabishana wabishana naye
Wapendana wapendana wapendana naye
Wabishana wabishana wabishana naye
Dunia shida ni nyingi
Kwani pesa ni nini
Shida ni nyingi
Kwani pesa ni nini
Usipigane nao
Tena wala kamwe usivutane nao
Toka siku za kitambo za sila na paulo
Omba sana stress na vita weka kando
Kupaper loving i done tire
Mawazo akilini niko on fire
Moyoni nisiwe naskia vibaya
Na wivu nikajipata six feet under
KukosanaKugongana
Kuvutana Kutengana
Kukosana Kugongana
Kuvutana Kutengana
Mwapendana Mwapendana Mwapendana
Kisha Mwabishana Mwabishana Mwabishana
Mwapendana Mwapendana Mwapendana
Kisa na maana mna pesa bado shida ni nyingi
Dunia shida ni nyingi
Kwani pesa ni nini
Shida ni nyingi
Kwani pesa ni nini
Usipigane nao
Tena wala kamwe usivutane nao
Toka siku za kitambo za sila na paulo
Omba sana stress na vita weka kando
Maisha ni shangwe na glory
Panda shuka ni boring
Huku Nairobi ka hauko radar utajipata kwa ngori
Ju mpanda ngazi ushuka
peana ball anaruka
Si at this point noma hadi mfuko inashtuka
Maze ni blander
Najua ni ngumu but God amepanga
Toa stress Acha pressure we jibambe
Piga sherehe babaa ongeze kitambi
Shida ni nyingi leo naeza vuta hata bhangi
Dunia shida ni nyingi
Kwani pesa ni nini
Shida ni nyingi
Kwani pesa ni nini
Usipigane nao
Tena wala kamwe usivutane nao
Toka siku za kitambo za sila na paulo
Omba sana stress na vita weka kando