VIJITO Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
VIJITO - Frida Rottson
...
Nipande nipande kwenye vijito vya maji nifurike baraka x 3
Walau kama ungenipanulia mipaka yangu niwe na nafasi nitoke jalalani
Tena unineemeshe kwa nguvu na vipawa hata wakiniona waseme ni Mungu tu
Wala si kwa nguvu wala mamlaka ila ni kwa wewe unitiae nguvu
Tena sishangai kuitwa mtumwa maana nguvu zote unamiliki wewe
Nakubali nishuke chini ili we peke uwe juu maana ukiinuliwa utaniinua na mimi
Kama ayala kama somolo nilaze kando ya majani mabichi nifurike baraka
Kama ayala kama somolo nilaze kando ya majani mabichi nifurike baraka
Nipande nipande kwenye vijito vya maji nifurike baraka x3
Ninashurutishwa na roho huku natamani kule kule kuvuviwa na weee naio naiona nuru
I am laying down to you
In pain and in burden
I am falling in love with you
You and only you
Haya ni maombi yangu hizi ni njozi zangu chaguo langu la moyo wangu wala si dhahiri iiii
Nimekuletea mizigo yangu maumivu yangu na shida zangu ili ubebe wewee
Mi nikutumikieeee x2
Aiyee ee e
Nipande (nipandee) nipande (pandeee) kwenye vijito vya maji (oiyeeee) nifurike baraka (iwe pando la kutia moyo)
Nipande (nipandee) nipande (pandeee) kwenye vijito vya maji (oiyeeee) nifurike baraka (iwe pando la ushuhuda)
Nipandeee nipandeee nipandeee eheee ooooh