Upendo Wa Yesu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Upendo Wa Yesu - Oboke Adventist Choir
...
Tulipofika kwenye bonde la kutisha,
Kwa unyonge na uchovu hapo gizani,
Hapo tulipokua hatuna nguvu,
Mwokozi alikuja na kutuokoa,
Tulipofika kwenye bonde la kutisha,
Kwa unyonge na uchovu hapo gizani,
Hapo tulipokua hatuna nguvu,
Mwokozi alikuja na kutuokoa,
Sisi tunaimba leo upendo wa Yesu,
Aliemwaga damu kwa ajili yetu,
Tumeokoka tumekombolewa,
Tunaimba pendo lake asifiwe,
Sisi tunaimba leo upendo wa Yesu,
Aliemwaga damu kwa ajili yetu,
Tumeokoka tumekombolewa,
Tunaimba pendo lake asifiwe,
Isingekua pendo hili la agape,
Mimi na wewe tungepotea dhambini,
Kwa kifo cha yesu sasa tuko huru,
Na tunaimba pendo lake asifiwe,
Isingekua pendo hili la agape,
Mimi na wewe tungepotea dhambini,
Kwa kifo cha yesu sasa tuko huru,
Na tunaimba pendo lake asifiwe,
Sisi tunaimba leo upendo wa Yesu,
Aliemwaga damu kwa ajili yetu,
Tumeokoka tumekombolewa,
Tunaimba pendo lake asifiwe,
Sisi tunaimba leo upendo wa Yesu,
Aliemwaga damu kwa ajili yetu,
Tumeokoka tumekombolewa,
Tunaimba pendo lake asifiwe,
Tafakari ni upendo wa jinsi gani,
Wa mtu kufa kwa ajili ya rafikize,
Kaacha enzi na utukufu wake,
Na tutaimba pendo lake siku zote,
Tafakari ni upendo wa jinsi gani,
Wa mtu kufa kwa ajili ya rafikize,
Kaacha enzi na utukufu wake,
Na tutaimba pendo lake siku zote,
Sisi tunaimba leo upendo wa Yesu,
Aliemwaga damu kwa ajili yetu,
Tumeokoka tumekombolewa,
Tunaimba pendo lake asifiwe,
Sisi tunaimba leo upendo wa Yesu,
Aliemwaga damu kwa ajili yetu,
Tumeokoka tumekombolewa,
Tunaimba pendo lake asifiwe,
Sisi tunaimba leo upendo wa Yesu,
Aliemwaga damu kwa ajili yetu,
Tumeokoka tumekombolewa,
Tunaimba pendo lake asifiwe,
Tumeokoka tumekombolewa,
Tunaimba pendo lake asifiwe,
Tumeokoka tumekombolewa,
Tunaimba pendo lake asifiwe,