Mkataba Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Mkataba - Kuzza
...
Hata mkinikata miguu bado ntatembea juu ya biti
Hata kama ikiwa sikukuu beki tatu huwa hapumziki
Hata Kama ** anchane vipi simsikii namskiza Nikki
Kapoteza hajielewi busy anatafta Kiki
Daily natembea na stick, acha nfanye Leo leo
Cause kesho yenyewe haitabiriki
Akishapita mwanangu basi Tena haitamaniki
Litakua gari lao vijana hawakamatiki
Dili zote zinaitika nna mkataba na Nike
Kamwe siwezi acha mziki hata mkinifichia mic
Hawajui stori yako Wala hawataki kuisikia
Hawakujua kwa Nini mbegu huwaga wanaifukia
Nkipost navibe na ngoma zangu wanasema najiskia
** ** hata Kama demu awe na mguu wa bia
Simamisha chepe juu ya udongo nshafukia hisia
Alikua na mvuto alinivuta mwisho nkamwachia
Samahani ka uliumia, yahh
Nje huwezi ona ingia ndani uone Mambo
Unakula na kuliwa kuwa Makini usiwe chambo
Huwezi jua utamu wa kitu mpaka uonjeshwe sampo
Huwezi ona uchafu nje msafi ndani dampo
Usiharakishe, usifananishe
Pesa zipo zitakwepo Wala wasikutishe
We chekecha umiza kichwa fanya usukume Mishe
**** mtoto wa kiume inabidi usababishe
Nakua nkipofu nkiwa kwenye hustle zangu sioni aibu
Hata iweje siimbi afro acha ntoke taratibu
Natamani kuwa diamond sjawahi waza kuwa chibu
Ukiniuliza mi ni Nani Kuzza trapper hio ndo jibu
Bahati nzuri nshawafuta waliokuwa wanani chora
Sawa tupo rappers wengi Ila sikosi tatu Bora
Naenjoy kuwa bachelor sjui ka ntaoa
Nina moyo mkubwa inabidi uwe mwangalifu nikiwa natoa
Nje huwezi ona ingia ndani uone Mambo
Unakula na kuliwa kuwa Makini usiwe chambo
Huwezi jua utamu wa kitu mpaka uonjeshwe sampo
Huwezi ona uchafu nje msafi ndani dampo
Hata mkinikata miguu bado ntatembea juu ya biti
Hata kama ikiwa sikukuu beki tatu huwa hapumziki
Hata Kama ** anchane vipi simsikii namskiza Nikki
Kapoteza hajielewi busy anatafta Kiki