Moto ft. Ssaru Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Moto ft. Ssaru - Cedo
...
ssaru(mooda)
ha!ha!ha! cedo
VERSE 1
mi na kumbuka kumbuka mara ya kwanza mi kumkuta
nilimpata na pale anakata makucha
nilipenda nywele zake amekata makucha
nilipenda nywele zake amesuka matuta
na si ajabu ni hatari kwamba anakuja kusukaa
kwenye kibanda mi nikampa number
nikangoja hizi pingu zetu tufunge na kamba
juu alinibamba,mimi nikamganga
nakumbuka akiniambia anatoka buganda
ye ni mkulima ati mimi ndio shamba
wale wadaku kawaida kutuchambaa
alininoki tukaanza kutamba kuchamba kuchamba
CHORUS
juu penzi lilikuwa ndoto (ni ndoto)
nikilala fofo naota kila siku njoo unipinde kushoto
raundii sizuii nipendizi na mkopo
na pia kuna baridi sisi tumewasha motoo(moto)
heeee sisi tumewasha moto
(washa washa washa washa)
moto (heee) sisi tumewasha moto
(washa washa washa washa)
VERSE 2
aaanha! unacheki vile majirani daily wanatuhype
ni ajali hatari vile si hugonga vichwa vya habari
chali yangu mali naeza muuza nishike kindai
niende dubai nipate kamwarabu kafine ai!
huyu amefika sioni akinipa kisogo
asubuhi mwenzio nanywa chai kwa mihogo
kwenye mipini huyu anakupa kigogo
saa zingine mi huandaa kali kubwa kwa udongo
ye ni mkulima ati mimi ndio shamba
wale wadaku kawaida kutuchambaa
alininoki tukaanza kutamba kuchamba kuchamba
CHORUS
juu penzi lilikuwa ndoto (ni ndoto)
nikilala fofo naota kila siku njoo unipinde kushoto
raundii sizuii nipendizi na mkopo
na pia kuna baridi sisi tumewasha motoo(moto)
heeee sisi tumewasha moto
(washa washa washa washa)
moto (heee) sisi tumewasha moto
(washa washa washa washa) ×2
writen BY temba_xvii