Nimesamehe Lyrics
- Genre:Rock
- Year of Release:2022
Lyrics
Nime samehe, Nime sahau, Sikumbuku tena (4times)
Wala sijutii, sijidanganyi, sikumbuki tena
Ujue binadamu kuna wenye mioyo ya ajabu
Huwezi wakata kwa maneno ,Huwezi wakata kwa vitendo, wamejichimbia ndani, kwenye mwamba chini, huwezi watesa unavyo taka, huwezi wafanya unavyo waza,
Maana siri ya Amani yao wala haikutegemea uwepo wako
Mwaisha yak nikama kurasa , wakishasoma imepita
Utawakuta wenye amani siku zote
Wenye furaha siku zote
Nimesamehe , Nimesahau, Sikumbuki tena (2times)
Wala sijutii, sijidanganyi, sikumbuki tena
Niko huru (4times)
Nimesamehe , Nimesahau, Sikumbuki tena (2times)
Wala sijutii, sijidanganyi, sikumbuki tena