Miujiza Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Miujiza - Bob Mayor
...
Wow, Bob Mayor
Vile nafanya Miujiza, sai manigga wananikimbza
Vile nafanya Miujiza sai my guy nashine Kwa Giza
Vile nafanya Miujiza wananishow natumia nguvu za giza
Vile nafanya Miujiza Hadi mapathree wako misa
Vile nafanya Miujiza chai moto nakunywa ka Niko nafreezer
Nigga nafanya Miujiza ka ni sentensi mi namaliza
Nigga nafanya Miujiza ka unipendi kwani unanilisha
Nigga nafanya Miujiza ka we ni peddy tenje shikisha
Nigga nafanya Miujiza ka we ni thegi nakubatiza
Nigga nafanya Miujiza ka nyi nivwengi nawamaliza
Mi nasaka mi nasaka saka doh bro
Why you calling why you calling on my phone hoe
Mi sidai mi sidai no no
Mi sidai story zako no no
Vile nafanya Miujiza sai my guy nashine kkwa Giza