Niko Easy (Intro) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
[Chorus]
Niko Easy,
Okenno niko mtaani na machizi - ni magunga na napizi,
Ka hunipendi usiniskize - juu niko sleazy,
Wikendi niko busy - gym tizi (Gym tizi),
Okenno siku hizi,
Nimepop kama drinks ziko fizzy
Niko Easy,
Okenno niko mtaani na machizi - ni magunga na napizi,
Ka hunipendi usiniskize - juu niko sleazy,
Wikendi niko busy - gym tizi (Gym tizi),
Okenno siku hizi,
Nimepop kama drinks ziko fizzy
[Verse 1]
Me hutesa ka Waarabu wa Qatar,
Kijana hatar nawatibu ka doktar,
Natoa maboy mbio,
Wa-roll on ni ka ni deo,
Alafu nakam na flow clean - ka kichwa ya Neyo,
But, ka unadhani ni vulgar basi mnishtaki,
Me ni thorn in the flesh - ka kijiti ya mishkaki,
Yap yap mingi baa ndio uwaga sitaki,
Nacome nimeblow up ni ka me ni fataki,
Ama rapper wa Iraqi,
Beat nazimada znaenda mbele ya haki
Me ni shida,
Hawa marapper wengine baa hawaezi nishinda,
Yap yap mingi man ni ka ni FIDA,
Okenno me uwamada na vitendo,
I don't play games nigg*h - this is not nintendo,
Mess na me buda - tukumishandle,
Mess na me buda - tukumishandle,
Bado niko Nairo, boy's on point like a biro,
Flow so sick iko viral,
Nasikizwa Jo'burg hadi Cairo,
Budah,
Okenno hot nigg*h kama Shmurda,
Fast and furious me ni Ludah,
Wanashindwa, 'How does he do that?'
But I'm the sh!t, lazima nikitema katatupa,
[Chorus]
Okenno niko mtaani na machizi - ni magunga na napizi,
Ka hunipendi usiniskize - juu niko sleazy,
Wikendi niko busy - gym tizi,
Okenno siku hizi,
Nimepop kama drinks ziko fizzy
Niko Easy,
Okenno niko mtaani na machizi - ni magunga na napizi,
So ka hunipendi usiniskize - juu niko sleazy,
Wikendi niko busy!