Loading...

Download
MTEPA

MTEPA

Current  #99k+
All Time  #987.7k
Naitwa Rashid Abedi Nyakyeri, nimezaliwa Songa Mbele, Arusha, Tanzania, tarehe 19 mwezi wa tatu 1997. Nilitumia miaka yangu ya utotoni huko Musoma, ambapo nilimaliza masomo yangu ya msingi na sekondari. Baada ya kumaliza shule, nilihamia jijini Dar es Salaam, ambako nilianza safari yangu ya muziki mwaka 2021. Katika kipindi hiko, nilirekodi wimbo wangu wa kwanza ulioitwa "Greater Love," ambao umetengenezwa na Cloud Beats na Lion Riddims mwaka 2022. Hivi karibuni, nimeshirikiana na wakali wengine na kutoa nyimbo kama "Jah Love" na "Comfort." Mbali na muziki, mimi ni muigizaji na model, nikionyesha uwezo wangu katika sanaa mbalimbali. Napenda kuwakaribisha nyote kwenye dunia yangu ya muziki ili tushiriki burudani ya kipekee kutoka Tanzania...more
Country/Region : Tanzania

Listen to MTEPA’s new songs including "Champion", "Greater Love", "Darling" and many more. Enjoy MTEPA’s latest songs and explore the MTEPA’s new music albums. If you want to download MTEPA songs MP3, use the Boomplay App to download the MTEPA songs for free. Discover MTEPA’s latest songs, popular songs, trending songs all on Boomplay.

MTEPA Biography

Naitwa Rashid Abedi Nyakyeri, nimezaliwa Songa Mbele, Arusha, Tanzania, tarehe 19 mwezi wa tatu 1997. Nilitumia miaka yangu ya utotoni huko Musoma, ambapo nilimaliza masomo yangu ya msingi na sekondari. Baada ya kumaliza shule, nilihamia jijini Dar es Salaam, ambako nilianza safari yangu ya muziki mwaka 2021. Katika kipindi hiko, nilirekodi wimbo wangu wa kwanza ulioitwa "Greater Love," ambao umetengenezwa na Cloud Beats na Lion Riddims mwaka 2022. Hivi karibuni, nimeshirikiana na wakali wengine na kutoa nyimbo kama "Jah Love" na "Comfort." Mbali na muziki, mimi ni muigizaji na model, nikionyesha uwezo wangu katika sanaa mbalimbali. Napenda kuwakaribisha nyote kwenye dunia yangu ya muziki ili tushiriki burudani ya kipekee kutoka Tanzania

Comments (0)

0/500

    New Comments0

    What do you think of this artist?

    FAQs about MTEPA

    Where is MTEPA from?

    He is from Tanzania.

    How to download songs of MTEPA?

    You can download songs of MTEPA from Boomplay App for free.
    Firstly, install Boomplay app on your mobile phone.
    Secondly, navigate to the song you would like to download.
    Thirdly, Tap on More > Download.

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234
            -You can log in via below methods-
            Reset password via e-mail
            -or-
            Reset password via e-mail
            If you have any questions, please feedback on Boomplay App or send an email to [email protected].

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status