Acha iwe
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Yanaumiza hisia! Yanaumiza Mapenzi!
hayatoshi kujaza kitabu kwa tenzi!
Nikajaribu kila mbinu, nikatuma vocha kwa simu,
kumbe natwanga maji kwa kinu! haya mapenzi...
Nikatafuta jema hata moja lako nilitazame..ukweli hakuna, nimetoka kapa mwanawane!
kuna muda niliomba hata dunia isimame ..eehe, mana ulikuja mavuno ukaondoka ukame..
Niliidharau bahari kisa maji yameshapwaa, nataka kufyatua tofali, cement , mchanga sina!
aaah aaah aaah haya... nishajjaribu kuyasahau...iwe kheri moyoni mwanagu....ooh oooh
chorous
Nasema acha iwe! acha iwe! acha iwe! iwe kheri moyoni mwangu..mama moyoni mwangu ..ulalaaa x2
Similar Songs
Listen to AthanGeofrey Acha iwe MP3 song. Acha iwe song from album Acha iwe is released in 2022. The duration of song is 00:01:47. The song is sung by AthanGeofrey.
Related Tags: Acha iwe, Acha iwe song, Acha iwe MP3 song, Acha iwe MP3, download Acha iwe song, Acha iwe song, Acha iwe Acha iwe song, Acha iwe song by AthanGeofrey, Acha iwe song download, download Acha iwe MP3 song