
Niache
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Homiy
Uuuh uuuhu yeah
Ahaaah (Ahaaha) Ahaa Ahha (Ahaaha) ahaa (iyeeeeeh!)
Moyo wangu fumbo lisofumbuka Hata nikitumia magongo me naanguka
Likipona donda linachubuka Mieeh eheeh
Penzi nilidhan mlima kumbe kichuguu ushalipaliaa moto wa kifuu hata siponi napata tu unafuu aha ahaa
Unachofanya hata siumii basi fanya unachopenda. na macho nimefunga sioni ukishachoka utaenda
Kwanza penzi lishadondoka nyongo Halifai hata kwa sifongo Sina hamu Wala hata usongo hainogi hata upakie mkongo oooh ooh!
Niache niache
Niache niache
see lyrics >>Similar Songs
More from Homiy
Listen to Homiy Niache MP3 song. Niache song from album Niache is released in 2022. The duration of song is 00:03:26. The song is sung by Homiy.
Related Tags: Niache, Niache song, Niache MP3 song, Niache MP3, download Niache song, Niache song, Niache Niache song, Niache song by Homiy, Niache song download, download Niache MP3 song
Comments (11)
New Comments(11)
official heme
tuishi nako❤️
official heme
kama umenimbiya mm yanauma
official heme
sana
official heme
unajuwa
tiger0ge9q97
homiy
bakarivnrpy
nice song
issa4c22x
boom
issa4c22x
international
Geofrey Manongi
[0x1f621][0x1f623][0x1f623][0x1f623]
Homiy_tz
tuishi nako❤️
Gift Giftfx95p
kanyimbo katamu❤❤❤❤❤❤❤❤
j