Bwana Wa Majeshi
- Genre:Electronic
- Year of Release:2022
Lyrics
Bwana Wa Majeshi - GOSPEL LIGHT TANZANIA
...
Bwana wa majeshi twaja mbele zako, twaimba, twasifu twatangaza wema wako Bwana tunakwinua Yesu mkombozi wetu..tunakwinua Yesu mkombozi wetu..
Yesu nakupenda Yesu nakusifu(naimba), naimba nina furaha, yesu ngome yangu Yesu nakupenda Yesu nakusifu(naimba), naimba nina furaha, yesu ngome yangu.
Nikitafakari ulikonitoa sina cha kukulipa mwokozi kwa upendo wako natoa moyo wangu kwako Bwana Yesu, natoa moyo wangu kwako Bwana Yesu.
Similar Songs
More from GOSPEL LIGHT TANZANIA
Listen to GOSPEL LIGHT TANZANIA Bwana Wa Majeshi MP3 song. Bwana Wa Majeshi song from album Nuru is released in 2022. The duration of song is 00:04:02. The song is sung by GOSPEL LIGHT TANZANIA.
Related Tags: Bwana Wa Majeshi, Bwana Wa Majeshi song, Bwana Wa Majeshi MP3 song, Bwana Wa Majeshi MP3, download Bwana Wa Majeshi song, Bwana Wa Majeshi song, Nuru Bwana Wa Majeshi song, Bwana Wa Majeshi song by GOSPEL LIGHT TANZANIA, Bwana Wa Majeshi song download, download Bwana Wa Majeshi MP3 song