- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Mawaki mkiniona kaa mbali pambana kufunga na sana kusali
Nakaza nazidi na ngoma ni kali na bado ndo mwanzo na mwisho tayari
Na mkono kashika kunako makali kidete nakula pazuri kidani
Yani kama me mwengine sidhani yani kama Mimi wengi watamani
Chaji nachajisha battery low panda napandisha makolo
Zidi nazidisha maneno nyuma kubaki si mtondo goo
Chaji nachajisha battery low panda napandisha makolo
Zidi nazidisha maneno nyuma kubaki si mtondo goo
Multitalented no time I wasted work hard mpaka niwe tuzo nominated
Me ni yule kid fundi ila underrated ni mbali ila thank God time hii I tasted
Ni mbali nimetoka yeah so true na yule karopoka so who are you
see lyrics >>Similar Songs
More from Trap Kidi
Listen to Trap Kidi CHAJI MP3 song. CHAJI song from album CHAJI is released in 2022. The duration of song is 00:03:50. The song is sung by Trap Kidi.
Related Tags: CHAJI, CHAJI song, CHAJI MP3 song, CHAJI MP3, download CHAJI song, CHAJI song, CHAJI CHAJI song, CHAJI song by Trap Kidi, CHAJI song download, download CHAJI MP3 song