Haikuwa Ridhiki
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Haikuwa Ridhiki - Bony Mwaitege
...
Nakosa neno zuri kukufariji ndugu yangu Mimi nakosa neno zuri. Ooooh Nakosa neno zuri la kukufariji wewe Nakosa neno zuri Nashindwa nisemeje Nikufariji dada yangu Nashindwa nisemeje Najua umeumia Nashindwa nisemeje zaidi ya kusema Hakuwa wa kwako Nashindwa nisemeje zaidi ya kusema Hakuwa wa kwako kaka Usilieee Wazazi pande mbili zote walishaanza kujiandaa kwa harusi yenu Iliyotegemewa toka pande zote mbili walishaanza kujiandaa wazaziii Kilichotokea kingeumiza moyo wa yeyote pole sana na kilichotokea Oooh kilichotokea kingeumiza moyo wa binadamu yeyote duniani dada yangu pole, pole sana Umepata taarifa mbaya imejeruhi moyo wako wewe kaka poleee Umepata taarifa mbaya imejeruhi moyo wako wee dada polee eeei Umekuja kuambiwa leo ooh Yule mchumba wako leooo aaa anafunga ndoa leo eeeh Na mtu mwingine wala siyo wewe Nyamaza usilie usilie Futa machozi usilie ndugu yangu Mtazame Bwana wa mabwana awe faraja yako na sisi tunakufariji kwa kusema Haikuwa riziki yako usilie Subiri riziki yako iko kwa Mungu, inakuja Haikuwa riziki yako yule usilie Subiri riziki yako iko kwa Mungu, inakuja Haikuwa riziki yako usilie Subiri riziki yako iko kwa Mungu, inakuja Haikuwa riziki yako yule usilie Subiri riziki yako iko kwa Mungu, inakuja Oooh usiutese moyo Aaaah yule hakuwa wa kwako Eeeh usiumie moyo bure yule haikuwa riziki yako Angekuwa riziki yako asingekutemea mate Angekuwa riziki yako yule asingewadharau wazazi wako Angekuwa riziki yako ooo asingeivunja ahadi yenu ya kufunga ndoa Nyamaza usilie weee usilie Futa machozi usilie weee hayaaaa Haikuwa riziki yako yule usilie Subiri riziki yako iko kwa Mungu, inakuja Haikuwa riziki yako usilie Subiri riziki yako iko kwa Mungu, inakuja Haikuwa riziki yako yule usilie Subiri riziki yako iko kwa Mungu, inakuja Imeandikwa tusizitegemee akili zetu Tumtazame Mungu wetu Pengine haya yaliyotokea yameruhusiwa na Mungu kuna kitu anakuepusha Imeandikwa tusizitegemee akili zetu Tumtazame Mungu Bwana Pengine haya yaliyokutokea Mungu kayaruhusu Kuna kitu Mungu anakuepusha usilie Haikuwa riziki yako usilie Subiri riziki yako iko kwa Mungu, inakuja Haikuwa riziki yako yule usilie Subiri riziki yako iko kwa Mungu, inakuja
Similar Songs
More from Bony Mwaitege
Listen to Bony Mwaitege Haikuwa Ridhiki MP3 song. Haikuwa Ridhiki song from album Tunapendwa Na Mungu is released in 2017. The duration of song is 00:07:50. The song is sung by Bony Mwaitege.
Related Tags: Haikuwa Ridhiki, Haikuwa Ridhiki song, Haikuwa Ridhiki MP3 song, Haikuwa Ridhiki MP3, download Haikuwa Ridhiki song, Haikuwa Ridhiki song, Tunapendwa Na Mungu Haikuwa Ridhiki song, Haikuwa Ridhiki song by Bony Mwaitege, Haikuwa Ridhiki song download, download Haikuwa Ridhiki MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
B6y4ln
caromutongoi
i feel like crying
Dianafffqa
i like this song
Brenda naliaka from Kenya l love this song