Ya Nini Malumbano
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2019
Lyrics
Ya Nini Malumbano - Njeri Olufunke
...
Instructions Ya nini Malumbano Ua nini Maneno Najiweka pembeni Naepusha Msongamano Bora nitulie Ningoje changu na Mie Mola Nijalie, Haya yasinirudie (x2) Kisa na Mkasa Yaliyonikuta Daah!! Subiri kwanza Machozi Nafuta Nikikumbuka Jinsi Nilivyopataga Msichana mrembo Mtamu kama Matata Nilivyopata Nilidhani Nimepata,Kumbe Nimepatikana Mitaa ya kati sasa sitaki kupita mwenzenu Mi naona Noma Umalaya vyote kashika anagawa kwa kila rika (x2) Hebu shika talaka nenda (nenda) Nenda Mambo uliyotenda kuyavumilia nimeshindwa Nenda aaaah (x3) Hata kama zamani nilipenda Chorus Mengi nimevumilia Hayapungui Yanazidia Hivi kwanini My dear Ama hujui kwamba naumia Pombe kichwani umeingia eti saa mzima walia Mimi gheto nishajilalia Kitandani ukatapikia Kigezo sikukupenda Eti kupenda nisiko pendwa Sasa kwanini unanitenda Au ndo malipo Yakukupenda wewe Nisichopinga ni kwamba ukweli nilikupenda wewe Nilichoshindwa nikuvumilia unayotenda bebe Nendaah (x3) Ata kama zamani nilipenda Chorus Washikaji walinambia Kwamba demu ni kiruka njia Nilidhani wamenipangia kunitania nikapuuzia Mchezo nilipo anza nilidanganya naenda Mwanza Kurudi kitu cha kushangaza Nakuta Kidume kimejilaza Gheto!! Nendaah (x3) Aaa eeeh Hebu shika talaka nenda bebe girl bebe nenda Mambo uliyotenda kuyavumilia nimeshindwa Mieh Aaa eeh Nendaah Atakama zamani nilipenda Instructions
Similar Songs
More from Njeri Olufunke
Listen to Njeri Olufunke Ya Nini Malumbano MP3 song. Ya Nini Malumbano song from album Ya Nini Malumbano is released in 2019. The duration of song is 00:05:28. The song is sung by Njeri Olufunke.
Related Tags: Ya Nini Malumbano, Ya Nini Malumbano song, Ya Nini Malumbano MP3 song, Ya Nini Malumbano MP3, download Ya Nini Malumbano song, Ya Nini Malumbano song, Ya Nini Malumbano Ya Nini Malumbano song, Ya Nini Malumbano song by Njeri Olufunke, Ya Nini Malumbano song download, download Ya Nini Malumbano MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
Elirehema Ayo
johnemplr
very nice
[0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618]