- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Ivi umeshushwa aa ama umeumbwa kwa udongo
Yeh Kwako nishaweka nukta wengine watakudanganya
I lovyou forever njoo tuwe wote Together Tuzae watoto wakupendeza
Umenibamba umeniweza
Nina tamani kwa macho Ushudie Adharani nikuimbie milele Daima Nikusifie
Nikiwa nawe naisi raha (Utam)
Oohye utamu kolea (Utam)
Ooyee yani umeninogea (Utam)
Oyeee ooyee kwako nimeloea
So let me know if you want me
see lyrics >>Similar Songs
More from King Adri
Listen to King Adri Utam MP3 song. Utam song from album Valentine is released in 2022. The duration of song is 00:03:16. The song is sung by King Adri.
Related Tags: Utam, Utam song, Utam MP3 song, Utam MP3, download Utam song, Utam song, Valentine Utam song, Utam song by King Adri, Utam song download, download Utam MP3 song