![Mapenzi ya Milele](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/06/dc3a8028ec5746aaa5731fe05f281995_464_464.jpg)
Mapenzi ya Milele
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Mapenzi ya Milele - Walter Chilambo
...
(Love Music)
Mapenzi ya milele ndio yanipendezayo
Yalinipenda mbele sina fahamu nayo
Sasa amani yake tele rohoni mwangu
Mimi kuwa wake na yeye kuwa wangu
Mimi kuwa wake [aaah] na yeye kuwa wangu
Mbingu zina ng’ara juu na nchi nayo hivyo
Macho ya dunia tu hayajaona hivo
Mbingu zina ng’ara juu na nchi nayo vivyo
Macho ya dunia tu hayajaona hivo
see lyrics >>Similar Songs
More from Walter Chilambo
Listen to Walter Chilambo Mapenzi ya Milele MP3 song. Mapenzi ya Milele song from album Ushuhuda is released in 2022. The duration of song is 00:03:47. The song is sung by Walter Chilambo.
Related Tags: Mapenzi ya Milele, Mapenzi ya Milele song, Mapenzi ya Milele MP3 song, Mapenzi ya Milele MP3, download Mapenzi ya Milele song, Mapenzi ya Milele song, Ushuhuda Mapenzi ya Milele song, Mapenzi ya Milele song by Walter Chilambo, Mapenzi ya Milele song download, download Mapenzi ya Milele MP3 song
Comments (10)
New Comments(10)
Emanuely Munna
Potfa Daudi
Bless upon you
Mzukivanny007
melody nzuri
MbembelaTv
amen
127263984
the first song I heard eas messiah but hii just takes my heart to God's presence . God bless you.
Titox52vp
[0x1f60e][0x1f621]
Stanleye83ji
brother we ni Fire God bless
Plasido Mligo
[0x1f621][0x1f608][0x1f612]
barakabenoni
my favourite
Babyto Barto Paulo
nitakupenda milele Asante YESU
bigap sanaaa bro