
Tanzania imara
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Ayee ayee tanzania ayee ayee tanzania Tanzania tanzania tanzania tanzania tanzania tanzania tanzania nchi yangu najivunia tena nchi yenye amani najivunia uoto wa asili upo tanzania vivutio vizuri vya kitalii vyipo tanzania tudhumishe mila watanzania tusiache tamaduni zetu watanzania tusiache tusherekee kwa pamoja sikukuu yetu ya uhuru tusherekee kwa pamoja siku kuu ya muungano.
Jivunie jivunie kuwa mtanzania imara kuwa mtanzania Imara ayee ayee mimi mtanzania jivunie jivunie kuwa mtanzania imara kuwa mtanzania Imara ayee ayee mimi mtanzania.
Mwenge wetu moto moto
Moto moto oooh
Tanzania moto moto moto
Moto moto oooh
Mwenge wetu moto moto
Moto moto oooh
Tanzania moto moto moto
Moto moto oooh
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Dizodi Tanzania imara MP3 song. Tanzania imara song from album Tanzania imara is released in 2022. The duration of song is 00:04:04. The song is sung by Dizodi.
Related Tags: Tanzania imara, Tanzania imara song, Tanzania imara MP3 song, Tanzania imara MP3, download Tanzania imara song, Tanzania imara song, Tanzania imara Tanzania imara song, Tanzania imara song by Dizodi, Tanzania imara song download, download Tanzania imara MP3 song