- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Kafubaa - Mzee Wa Bwax (TZ)
...
eti ninywe sumu kisa wewe, huo uongo we acha kujiongopea, na ile tattoo nilikuchora kifuani ile piko tu we acha kuiongelea,
Huna jipya wewe kwanza umedoda we ukija baa hununui hata soda×2
juzi kati nimekutana na ex wangu kakonda mbwa yule, masela nimekutana na ex wangu kafubaa mbwa yule,
we wanangu mekutana na ex wangu kakonda mbwa yule, we jama nimekutana na ex wangu kafubaa mbwa yule,
tena amepauka pau pau, mimi si alinidharau, amekauka kau kau mimi mwenzake ndo napanda dau.
We kwanza unayedate naye anakosea, hata kama tuliachana hivi kwanini akutese, Ona mwenzako najinenepea, nakula vitamu wala sinaga mapepe,
see lyrics >>Similar Songs
More from Mzee Wa Bwax (TZ)
Listen to Mzee Wa Bwax (TZ) Kafubaa MP3 song. Kafubaa song from album Kafubaa is released in 2022. The duration of song is 00:04:07. The song is sung by Mzee Wa Bwax (TZ).
Related Tags: Kafubaa, Kafubaa song, Kafubaa MP3 song, Kafubaa MP3, download Kafubaa song, Kafubaa song, Kafubaa Kafubaa song, Kafubaa song by Mzee Wa Bwax (TZ), Kafubaa song download, download Kafubaa MP3 song
Comments (75)
New Comments(75)
Sara Jofrey
riqqayah
huna jipya wee
irenetemu501
[0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f633][0x1f647][0x1f647][0x1f606][0x1f606][0x1f606][0x1f606][0x1f606][0x1f606][0x1f606][0x1f606]ma x wte mambwaaa
Plty da prtty
apo kweny mbwa yule ndio unyama unyaman maaaaamaaaa
rally fundi
unyama
mankadaniel$11
hahaha nmcheka kizemb kwan now unadate na x wanan mzee wa bwax
Tonyamany
[0x1f631][0x1f631][0x1f631][0x1f631][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636]
Tonyamany
[0x1f631][0x1f631][0x1f631][0x1f631][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636]
Muyabi Majura
Mmmmhjjjjj
Nourry Junior
juz kat nmekutana nax kakoñda mbwa yulee we unaedet nae anakosea atakama tuliachana skusema akutese[0x1f627][0x1f627]
Nasra Mhea
Eti ninywe sumu kisa wewe huo uwongo[0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602]
Lenard Ngimilanga
wozaaaaaaaa[0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f604][0x1f63b]
iranyie huwamukovizuri