
Nawacha Pombe ft. Vinie Chwani
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2022
Lyrics
Nawacha Pombe ft. Vinie Chwani - Kushman (KE)
...
listen craft ukiwa na shida ya moto usikunywe pombe uchome main, that's the raw unfiltered truth mi nmeacha pombe pia we acha pombe si mliskia aty mbwakni amenyamba, mbwakni alilewa akanyamba, kushman. peddi wa magenge, pombe iliniweka Kwa noma (noma) ata sai staki kuniona(ata kidogo) hii ni wikendi ya mwisho najibamba(eeh) kuanzia Monday nawacha pombe. pombe hufanya niblander, Jana ilifanya nikakojoa kwa kikombe pombe inaweza kukudanganya unakatia mashosh ukidhani ni wasichana, simu nimepoteza mara ngapi( fifty) pesa nimepoteza mara ngapi (forty seven)ata sai Niko na shida ya main nikionja makali mtaniokota chini, nawacha pombe till further notice yaani nawacha pombe hadi budangu anotice ukinipata nakata maji afande nishike na uniekelee bangi (aii nawacha pombe, nawacha pombe, nawacha pombe, aki pombe nitakumiss)*2 we ni bibi ya mtu na unalewa sana aii Wacha pombe, bwana anakutafuta hujarudi tangy Jana aii Wacha pombe, we ni mwanaume na ukilewa ni kelele aii Wacha pombe ukikunywa mzinga na watoto wako njaa aii Wacha pombe, najua pombe si supu na pombe ni tamu kuliko supu lakini pombe ni kisirani unasahau bibi yako unakumbuka wa jirani, mi husema nawacha na siwachi, ati 'sitawai tena kata maji' kesho unanipata nimelewa chakari, nimedunda kwa mtaro matope Kila mahali aii nawacha pombe nawacha pombe nawacha pombe aki pombe nitakumiss aii nawacha pombe nawacha pombe..twenty class music ....
Similar Songs
More from Kushman
Listen to Kushman Nawacha Pombe ft. Vinie Chwani MP3 song. Nawacha Pombe ft. Vinie Chwani song from album Nawacha Pombe is released in 2022. The duration of song is 00:03:07. The song is sung by Kushman.
Related Tags: Nawacha Pombe ft. Vinie Chwani, Nawacha Pombe ft. Vinie Chwani song, Nawacha Pombe ft. Vinie Chwani MP3 song, Nawacha Pombe ft. Vinie Chwani MP3, download Nawacha Pombe ft. Vinie Chwani song, Nawacha Pombe ft. Vinie Chwani song, Nawacha Pombe Nawacha Pombe ft. Vinie Chwani song, Nawacha Pombe ft. Vinie Chwani song by Kushman, Nawacha Pombe ft. Vinie Chwani song download, download Nawacha Pombe ft. Vinie Chwani MP3 song
Comments (11)
New Comments(11)
Elly Sichenyi
Elly Sichenyi
love ❤️
faith5y104
pombe
Caroline 42qr4
nliacha pombe but me huimiss tu sana ikifika kuparty na ngenge
Faith kalunda5meed
Goal ya walevi sacco
Fareedikmoj
ngoriiiii mzing
Vanpiu Omondi
congrats
i_am_brayoh
most underated song..
Agogo Mkareh
Ngoriiii
Abdulfrqw2
home town ...same dream to all members wa pombe clan
nairobi west
[0x1f621][0x1f621][0x1f621][0x1f621][0x1f621]
nairobi caren inaheet