- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Je Mlinzi - Angaza Sharon SDA Youth Choir
...
Je mlinzi ukutani, wa mji wa Zayuni, Habari zake usiku, asubuhi karibu? Kuna dalili za kupambazuka? Kuna dalili za kupambazuka?
2. Katika safari yetu, twaona nchi kavu? Tutalala baharini, bandari bado mbali? Kweli kweli, tutaona ufalme? Kweli kweli, tutaona ufalme?
3. Tunaona nuru yake, nyota ya asubuhi, Nyota tukufu na safi, inang’aa mbinguni, Furahini, wokovu u karibu, Furahini, wokovu u karibu.
4. Tumetazama ramani, kweli pwani si mbali, Twende mbele, kwa upesi tutaona bandari, Furahani, imbeni nyimbo zenu, Furahani, imbeni nyimbo zenu.
Similar Songs
More from Angaza Sharon SDA Youth Choir
Listen to Angaza Sharon SDA Youth Choir Je Mlinzi MP3 song. Je Mlinzi song from album Je Mlinzi is released in 2022. The duration of song is 00:03:12. The song is sung by Angaza Sharon SDA Youth Choir.
Related Tags: Je Mlinzi, Je Mlinzi song, Je Mlinzi MP3 song, Je Mlinzi MP3, download Je Mlinzi song, Je Mlinzi song, Je Mlinzi Je Mlinzi song, Je Mlinzi song by Angaza Sharon SDA Youth Choir, Je Mlinzi song download, download Je Mlinzi MP3 song