![Hisani Yangu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/26/fb4f559795804afdbf7f42f7306aa311_464_464.jpg)
Hisani Yangu
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Hisani Yangu - Sabah Salum
...
Hisani yangu imenipoza mie
Imenifanya nidharauliwe
Kwa kuwa hali yangu ya mwenzangu miee
Ohhhhhh
Sina wema katika hii dunia
Kila balaa limeniangukia
Leo hii sina raha sitaki kuyasikia mimi
Kwa ukweli yanauma yanatia na uchungu
see lyrics >>Similar Songs
More from Sabah Salum
Listen to Sabah Salum Hisani Yangu MP3 song. Hisani Yangu song from album Hisani Yangu is released in 2022. The duration of song is 00:06:27. The song is sung by Sabah Salum.
Related Tags: Hisani Yangu, Hisani Yangu song, Hisani Yangu MP3 song, Hisani Yangu MP3, download Hisani Yangu song, Hisani Yangu song, Hisani Yangu Hisani Yangu song, Hisani Yangu song by Sabah Salum, Hisani Yangu song download, download Hisani Yangu MP3 song
Comments (23)
Top Comments (1)
Zanzibar Taarab
New Comments(23)
CHUMMY CAPPUCCINO
Hy mambo yapo
CHUMMY CAPPUCCINO
Iiila huuu Wimbo alijua kuimba
aisha msazi
congratulations mama
saumuvzk21
mwimbo mzuli san
HADIYE BAKARI
kweli yako mama sabaha[0x1f625]
KwekaJoyce
Pambe hatarnacheka kama sitaki taratiibuu❤️
Fatuma Rashidig10vf
weeh daaah jmn mama sabah
Hisani yangu imenipoza mie Imenifanya nidharauliwe Kwa kuwa hali yangu ya mwenzangu miee Ohhhhhh Sina wema katika hii dunia Kila balaa limeniangukia Leo hii sina raha sitaki kuyasikia mimi Kwa ukweli yanauma yanatia na uchungu Kunichoma yanachoma ndani kwenye moyo wangu Sitaki kujikera nimechoka namaudhi nafsi yangu Kila kukicha balaa linazushwa kwangu mie Lawama ninatupiwa mbayambaya mitaani Ubaya ninaotiwa kwa watu sina thamani mimi Hisani nilofanya wachainigeukie Utu hauna maana niliofanya mie Nimedharauliwa sana mbele ya kitu mjue mimi Kama nilawama na nialaumie na litakalo kuwa lolote naliwe Binadamu hana wema ata vipi afanyiwe Ooooohhhhhh Nilivyosalitiwa katika mapenzi yangu Nia kumbe ilikuwa kuvunjwa life yangu Vyovyote itavyokuwa watakumbuka fadhila zangu mimi Ila kulirudisha penzi ni ngumu wala sitaki Nishauma siwezi bora na iwe khalasii Mimi na yeye mapenzi nasema na yawe basi mimi Asofadhila ni ngumu kufadhilika kwa jema Kaona kipya kijemi kanisalita bayana Kama kaona kapata basi amepatikana yeye Mimi kwa upande wangu sijifananishi nae Hata iwe roho yangu siko sawasawa nae Na mudu maisha yangu yanifae baadae mimi Kama nikupata basi naapate Iwe ivyoivyo juu asishuke Siwezi kuiziba ridhiki yake oohhhoo Kuepuka matatizo shari naepuka nayo Kwani toka zama izo sina jema mimi kwao ohho Kwa kuwa sina uwezo ule watakao wao tungeumbwa sote sawa tusingeheshimiana Weee binadamuuuuu Ndio maana tumeumbwa watu hatujafanana Bora nibaki nadhiki kuliko maudhi bhana Inaumaa yanachomaa yanauma yanachoma Yanachomaa yanauma yanachoma
hadija0ptnf
kweli

Grace David3t9qj
umeona eeee pambee sanaa me mwenyew ssina taarabu lakin hii ❤️
sijawahi kuweka taarabu kwenye sim yangu na wala sinaga habali na taarabu ila kwa hii kwangu bonge la wimbo [0x1f618][0x1f618][0x1f618]
Ilhamismai
Pambe
719450979
yani sina neno fanya kama unaona mama angu wakati nacheza nakuimba jomon penda sana ww
Nyimbo ipewe ulinzii wallah mama amebaruzaa ❤️❤️❤️
Hisani yangu imenipoza mie Imenifanya nidharauliwe Kwa kuwa hali yangu ya mwenzangu miee Ohhhhhh Sina wema katika hii dunia Kila balaa limeniangukia Leo hii sina raha sitaki kuyasikia mimi Kwa ukweli yanauma yanatia na uchungu Kunichoma yanachoma ndani kwenye moyo wangu Sitaki kujikera nimechoka namaudhi nafsi yangu Kila kukicha balaa linazushwa kwangu mie Lawama ninatupiwa mbayambaya mitaani Ubaya ninaotiwa kwa watu sina thamani mimi Hisani nilofanya wachainigeukie Utu hauna maana niliofanya mie Nimedharauliwa sana mbele ya kitu mjue mimi Kama nilawama na nialaumie na litakalo kuwa lolote naliwe Binadamu hana wema ata vipi afanyiwe Ooooohhhhhh Nilivyosalitiwa katika mapenzi yangu Nia kumbe ilikuwa kuvunjwa life yangu Vyovyote itavyokuwa watakumbuka fadhila zangu mimi Ila kulirudisha penzi ni ngumu wala sitaki Nishauma siwezi bora na iwe khalasii Mimi na yeye mapenzi nasema na yawe basi mimi Asofadhila ni ngumu kufadhilika kwa jema Kaona kipya kijemi kanisalita bayana Kama kaona kapata basi amepatikana yeye Mimi kwa upande wangu sijifananishi nae Hata iwe roho yangu siko sawasawa nae Na mudu maisha yangu yanifae baadae mimi Kama nikupata basi naapate Iwe ivyoivyo juu asishuke Siwezi kuiziba ridhiki yake oohhhoo Kuepuka matatizo shari naepuka nayo Kwani toka zama izo sina jema mimi kwao ohho Kwa kuwa sina uwezo ule watakao wao tungeumbwa sote sawa tusingeheshimiana Weee binadamuuuuu Ndio maana tumeumbwa watu hatujafanana Bora nibaki nadhiki kuliko maudhi bhana Inaumaa yanachomaa yanauma yanachoma Yanachomaa yanauma yanachoma>