Utukuzwe Ewe Baba
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Utukuzwe Ewe Baba - Tumshangilie Bwana
...
Utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe, aleluya
Utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe, aleluya
Utukuzwe - utukuzwe
Baba Muumba ulimwengu - aleluya
Tumepokea mkate, mazao ya mashamba, aleluya
Ndio alama kwetu, ya wema wako mkuu, aleluya
Ni tunda la bidii, ya mkono na ya moyo, aleluya
Jalie uwe kwetu, chakula cha uzima, aleluya
Zawadi ya divai, kutoka mzabibu, aleluya
Ndiyo alama kwetu, ya wema wako mkuu, aleluya
see lyrics >>Similar Songs
More from Tumshangilie Bwana
Listen to Tumshangilie Bwana Utukuzwe Ewe Baba MP3 song. Utukuzwe Ewe Baba song from album Liturgical Hymns Vol. 1 is released in 2019. The duration of song is 00:02:52. The song is sung by Tumshangilie Bwana.
Related Tags: Utukuzwe Ewe Baba, Utukuzwe Ewe Baba song, Utukuzwe Ewe Baba MP3 song, Utukuzwe Ewe Baba MP3, download Utukuzwe Ewe Baba song, Utukuzwe Ewe Baba song, Liturgical Hymns Vol. 1 Utukuzwe Ewe Baba song, Utukuzwe Ewe Baba song by Tumshangilie Bwana, Utukuzwe Ewe Baba song download, download Utukuzwe Ewe Baba MP3 song