Mwambieni
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Mhhh mh mh
Mhhh mh mhhh
Mhh mh mh
Mhh
Eeeeeh kaja omba nirudia
Kazirejesha salam
Zamani kakumbukiaa
Ameumisi utamu
Kaacha kopa kalamba garasa, kaishiwa masikini
Mpeni taarifa za beti mkwasa mi simkumbuki sini
Heee mwambieni mwambieni
see lyrics >>Similar Songs
More from Zuchu
Listen to Zuchu Mwambieni MP3 song. Mwambieni song from album Mwambieni is released in 2022. The duration of song is 00:03:01. The song is sung by Zuchu.
Related Tags: Mwambieni, Mwambieni song, Mwambieni MP3 song, Mwambieni MP3, download Mwambieni song, Mwambieni song, Mwambieni Mwambieni song, Mwambieni song by Zuchu, Mwambieni song download, download Mwambieni MP3 song
Comments (855)
Top Comments (4)
mtuuu
Khalmandro
Kupitia “Mwambieni" kutoka kwa kiziwanda cha WCB, nimejifunza mambo mengi sana kwenye mahausiano ambayo yamkini nilikuwa siyajui. Nitaeleza machache ambayo ni: 1. Thamani ya kitu huonekana baada ya kuondoka -Watu wengi kwenye mapenzi wakijua wanapendwa tu basi huanza kiburi na majivuno huku wakijua kuwa hawawezi kuachwa. 2. Ukiachwa achika (Move on) -Katika wimbo huu wa ZUCHU, anafafanua kwa undani zaidi kuhusu kuachika pale unapoachwa. Unapoona chaka lako limeungua haina budi kutafuta chaka lako la kudumu lilipo. Na ukimpata mpenzi anaekupenda na mkapendana basi shikilia hapo, kamwe usisilikize maneno ya EX wako. “Alidhani ameniadhiri Alidhani amenikomoa Mungu akanipa msitirii Alonipoza nikapoa ah Penzi kalijaza ndindindi.. "[0x1f618][0x1f61b] Mwisho, wimbo huu unabeba ujumbe mzito sana kwenye jamii tunayoishi siku hizi. Wapo watu ambao wakiachwa hawataki kuachika na badala yake wanasababisha hata madhara kwa EX zao. Ili tusifike huko basi MWAMBIENI kuwa mali yake ishaliwa. [0x1f609][0x1f607]>
Mjuba 99
Mwambieni - Zuchu Huu wimbo umechukua hisia za watu kwa sababu kama Mbili! 1. aina ya uimbaji ni ya Asili (kiutamaduni) kwahiyo Wazee wanasikiliza na watoto wanasikiliza na Kucheza! 2. Umegusa Uhalisia wa sasa wa hali ya Mahusiano ya kimapenzi, Wimbi la wanaume kuto kujali wenza wao limekua kubwa sana na hii ni kwa sababu wanaume wanafikiri wako juu kwa kila kitu mpaka kwenye maswala ya Mapenzi, Ubeti wa pili Zuchu ana bainisha hilo “Alidhani ameniadhiri Alidhani amenikomoa Mungu akanipa msitirii Alonipoza nikapoa ah Penzi kalijaza ndindindi Kanimwagia mwenwere mwenwere Pole ya kwako kidingi wa kudandia Ngendere ngedere Simu za usiku wa saa sita, aka staki Kuni dm insta, aka staki Kutwa kujicomentisha, aka staki Kujitumisha vipicha, aka staki” Kiujumla ni wimbo mzuri ambao unaendelea Kufanya Vizuri hapa Boomplay!>
New Comments(855)
ayubuu35
mwambieni mwambieni zuchu on fire
Sulaiman Sakariyau4554
Reject poverty the rich ones's don't have two heads so think wisely today so your children will not die in poverty..... reject poverty today if you are ready to make money without human being blood or part call or text me 07012865042
174050952
+234 907 5110746 Zenith bank and Ecobank *Note* It's called card loading mature minds please!! .... WhatsApp me if you have it........ +234 907 511 0746 Zenith bank and Ecobank *Note* It's called card loading mature minds please!! +234 907 5110746 Zenith bank and Ecobank *Note* It's called card loading mature minds please!! .... WhatsApp me if you have it........ +234 907 511 0746 Zenith bank and Ecobank *Note* It's called card loading mature minds please!! .... WhatsApp me if you have +234 907 5110746 Zenith bank and Ecobank *Note* It's called card loading mature minds please!! .... WhatsApp me if you have it........ +234 907 511 0746 Zenith bank and Ecobank *Note* It's called card loading mature minds please!! .... WhatsApp me if you have it........ +2349075110746 +2349075110746 .... WhatsApp me if you have it........ +2349075110746
EDGAR KARONGO
jina la wimbo unaosema nitakupa uroda hadi maji utayaita mma
Souley Firsaus
weh bonne là nyimbo
Amerdi Wondo
Bonjour
amar. hussein
amar. hussein
Faith naliaka Nyongesa
ana sauti nzuri na pia maneno ya wimbo huu yana mafunzo
Local Young Man
i
Aggreysande
cool
zuchu ni anajua kuandika vizuri na pia anasauti nzuri..kiupande mwingine anatufurahisha sana nyoyo zetu mashabiki zake.pia amejaribu kutumia melody za wazambia pia ameonesha uhodari wa hali ya juu kama yeye anaweza.>