
Mafanikio ft. Barakah The Prince
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2019
Lyrics
Mafanikio ft. Barakah The Prince - Fid Q
...
Kila mtu anataka mafanikio..
Kujisikia nipo juu mie sitaki hizo deals
Sipendi makuu hivyo nitabaki kuwa real..
Na kila track ya Q aaah,.. Ni wazi utaifeel
Ni wazi iko full aah MZAZI ninakill
Ninamwagika kama Masika..
ninaheshimika na sio kanjibai
Kwa huu mziki wa bajaji hadi kwa washkaji wenye macadillac
Unawashika ile kibabylon.. Unauzika sana maghetoni
Ilimradi tu wawe happy more..midadi tu ila party noooo
see lyrics >>Similar Songs
More from Fid Q
Listen to Fid Q Mafanikio ft. Barakah The Prince MP3 song. Mafanikio ft. Barakah The Prince song from album Kitaaolojia is released in 2019. The duration of song is 00:03:45. The song is sung by Fid Q.
Related Tags: Mafanikio ft. Barakah The Prince, Mafanikio ft. Barakah The Prince song, Mafanikio ft. Barakah The Prince MP3 song, Mafanikio ft. Barakah The Prince MP3, download Mafanikio ft. Barakah The Prince song, Mafanikio ft. Barakah The Prince song, Kitaaolojia Mafanikio ft. Barakah The Prince song, Mafanikio ft. Barakah The Prince song by Fid Q, Mafanikio ft. Barakah The Prince song download, download Mafanikio ft. Barakah The Prince MP3 song
Comments (20)
New Comments(20)
Amos Ulamaa Mweusi
sichula_260
noma sana huyu jamaa, hii ni hip hop shule
Mohamed noorwkcnz
king
selemani kauzela
[0x1f623]
Naturalsi63oi
dope
Samgcr92
Nakukubali sana farid kubanda.
Agness Ngereza
[0x1f627][0x1f627][0x1f621][0x1f630][0x1f63b]king of bongo hiphop
Mafaika Muafrika
najivunia sana wewe kuwa role model wangu napenda unachofanya na vingi naishi navyo vinanisaidia kwenye maisha yangu halisi nakuombea uzidi kuwepo afya njema na furaha na na wish kufanya kazi one day na wewe i pray to God one day ije kuwa hivyo your my Father Hip hop i call you Afrika hip hop king sio Bongo tu[0x1f60e][0x1f623][0x1f636]
113073274
jiwe hili
roman alexander
Huyu jama bhna ni mnona hajawahi Toa utopolo
Chakushangaza
kali
Kassimu Kisamile
7i
co kwamba atucheki kwa sababu tume zeeka, tumezeeka kwa sababu atujawai chekaa
jiwe la Moto hili