
Nitakupa
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Nitakupa - Msomali
...
every bad some bade, hahahahaha r dj nguto yeyeee, aah natamba sana"aah smart yiooo, mwenzangu na mimi tupo kibao, we chunga sana usije ukalala nayoo, naicho ndo kitu nilicho jaliwaa na molaa, we dada niombe pesa nitakupa pesa ya kuchoraa, jamani we danga ni dangie, "nitakupa mimba tu" ah we susu nisusie, "nitakupa mimba tu" we nishobokee uone, "nitakupa mimba tu" jamani nishobokee uone, "nitakupa mimba tu" muoneee kashoboka, shobo nyingi alizani nitatoboka, wee muoneee katobokaaaa, shobo nyingi alizani nitatoboka, ooh mama ohoo hana ayaaa, kaona pochi limetuna kapagawaaa, ooh mama ohoo hana ayaaa, kaona pochi limetuna kapagawa,
Similar Songs
More from Msomali
Listen to Msomali Nitakupa MP3 song. Nitakupa song from album Nitakupa is released in 2022. The duration of song is 00:03:43. The song is sung by Msomali.
Related Tags: Nitakupa, Nitakupa song, Nitakupa MP3 song, Nitakupa MP3, download Nitakupa song, Nitakupa song, Nitakupa Nitakupa song, Nitakupa song by Msomali, Nitakupa song download, download Nitakupa MP3 song
Comments (11)
New Comments(11)
158172871
Salim Sady
msomali family piga kaz blood
Shishi Vanny
singeli za kipuuzi tuu
SESEME MAKERw3rqz
nitakupa mimba tu
Simon Maswewe
ntakupa mimba wee nishobokee uone.....

Huncho50qc1y
natambaaa sasa
kisokigxt4h
nimesikia pekee ang au........!!!!!!!!!!!!!
muba kamanda
sana
Zanzibar Taarab
Singeli kwenye ubora wake
Nice