
Wa Thamani
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Uliiona toka mbali
Umenifanya wa thamani
Umeniweka kwenye madhabahu yako
Nikusifu bwana
Umenijaza pendo lako
Ukanifunika kwa uwepo
Umeniweka kwenye madhabahu yako
Nikutukuze bwana
Umenipa heshima, kibali na mamlaka
Umeniweka juu ya vyote,wote na yote*2
see lyrics >>Similar Songs
More from Nancy Solomon
Listen to Nancy Solomon Wa Thamani MP3 song. Wa Thamani song from album Wa Thamani is released in 2019. The duration of song is 00:07:20. The song is sung by Nancy Solomon.
Related Tags: Wa Thamani, Wa Thamani song, Wa Thamani MP3 song, Wa Thamani MP3, download Wa Thamani song, Wa Thamani song, Wa Thamani Wa Thamani song, Wa Thamani song by Nancy Solomon, Wa Thamani song download, download Wa Thamani MP3 song