- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
Lyrics
Dharau - Hassan Mapenzi
...
full dharau ooh full dharau mm yoo i yee full dharau iye analeta dharau ooh full dharau iyoo iyee ooh full dharau kisa sna pesa mchumb ukanikataaa mbele ya ndugu ukaleta dharau kamoyo piuh nkabaki duwaa . nkajipa moyo labd ntasahau nkikumbuka mama alivyonambiaa tafta pesa niepuke dharau nkizpata niach kujisifiaaa nkifulia wataniona nyang'auu mm ooh mm eeh mm ooh naogop dharauuu×2 mm ooh mm eeh spend dharauu maisha yetu ya bongo kma hujiwez yaan full dharauu maisha yetu ya bongo kma huna ktu yaan full dharau ndugu wanakudharau ooh full dharauu wahuni wanakudharau ooh full dharauu hta mademu wanakudharauu ooh full dharau hauna ktu wanakudharau oyaaa mwanangu gharamiiia niach maiki nwachane pisi kal nwachane wanaojichubua mwanangu nwachane twende pale unajikuta pisi kal kusoma hujui unaleta dharauu unajikutaa pisi kalii(unajikuta pisi kali) vipodozi dirishani(ooh dirishani) kumbe unalala sebleni(unall sebleni) unajikuta pisi kali kiingereza hujuii unaleta dharauu unajikuta muhunii unajikuta msela ooh unajikuta muhuni wakati unajichubua unatuletea dharauu ooh full dharau (chorus) maisha yetu ya bongo kma hujiwez yaan full dharauu(full dharau) maisha yetu ya bongo kma huna ktu yaan full dharauu (ooh full dharau) mdugu wanakudharau (ooh full dharauu wahuni wanakudharauu (ooh full dharau hta mademu wanakudharau(ooh full dharau hauna ktu wanakudharau unajikuta bitozi kumbe chawa wa vunja bei unaleta dharauu ooh full dharauuu ................ naondokaa naona hunifai ndo maan me nakuogopa ,naogopa u.t.i me naondoka naona hunifai ndo maan me nakuogopa naogopa u.t.i shika kule vuta pale tuondokee dharau zmekuzd huna lolote shika pale twende kule tuondokee dharau zmekuzd huna lolote nionyeshe miuno ya dharau nionyeshe×2 nionyeshe miuno ya dharau mammaaa ×2 sogea mita mbili mbele naogopa coronaa eeh usnishike mammaaa sogea mita mbili mbele naogopa coronaa usinshike mwenzio eeh kuna corona naondoka naona hunifai ndo maan me nakuogopa naogopa u.t.i babaaaa weeee u.t.i babbaaaaa ooooh sichagui sibagui ataenizika simjui dogo acha dharau maisha huyajui weweee maisha huyajui mamaa ......... hassan mapenzi tena bani music tena yarabii tenaa ...... ....... ......... ...... ........ ...........
Similar Songs
More from Hassan Mapenzi
Listen to Hassan Mapenzi Dharau MP3 song. Dharau song from album Dharau is released in 2021. The duration of song is 00:04:14. The song is sung by Hassan Mapenzi.
Related Tags: Dharau, Dharau song, Dharau MP3 song, Dharau MP3, download Dharau song, Dharau song, Dharau Dharau song, Dharau song by Hassan Mapenzi, Dharau song download, download Dharau MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
meshack mpnga qip3k
Salhat Mohammedwlftw
full mazere
113324102
it's so fire brooo
stephen ndelule
nice
nakubaliana na wewe Kk