- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Kampeni - Goodluck Gozbert
...
Waliponikaribia na kuniaibisha eeh
Haukunyamaza ukanipigania eeh
Waliponivua utu na kulichana vazi langu
Na heshima ulinikumbatia nisiaibike
Waliposema mi mjinga, ujinga ninao
Sababu hekima haiezi bila upendo
Nilipoyafunika madhaifu yao
Na kumbe tafsiri ni mjinga kwao
Hata nilipokaa kimya wewe uliona yote
Uliponyamaza hukuacha nife
see lyrics >>Similar Songs
More from Goodluck Gozbert
Listen to Goodluck Gozbert Kampeni MP3 song. Kampeni song from album Kampeni is released in 2021. The duration of song is 00:04:28. The song is sung by Goodluck Gozbert.
Related Tags: Kampeni, Kampeni song, Kampeni MP3 song, Kampeni MP3, download Kampeni song, Kampeni song, Kampeni Kampeni song, Kampeni song by Goodluck Gozbert, Kampeni song download, download Kampeni MP3 song
Comments (145)
New Comments(145)
Bodo zsvwz
Elizabeth Mango
nazipendaga sana nyimbo zako[0x1f641][0x1f641]
MUZIKI PESA
kijana upo juu Hallelujah
149695506
Nice
Iluminatha Alquin Kinund
Hallelujah! Mungu akuinue kwa viwango vya juu
Abraham Msuya4nt4c
nzuri sana
[0x1f636]nice
tololouvzgk
iime i bless
FELIX OMONDI OKOTH
The song sounds nice and has a message keep the good work of the Lord
shee korir
much blessed...wacha wakale mungu atawale
MAJALIWA KALINGAi6dr6
umenibariki sana
Ramadhan kazungufamc3
wimbo mzuri sana mungu azidi kukuongoza
My best tanzania gospel artist. I love your sings ans and listen ro every single day.