Pombe Sio Chai
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Pombe Sio Chai - Songa
...
Haiuzwi kwa under eighteen
Buda usije ukampoza mtoto
Kama unadozi kunywa hata soda ndogo
Mdogo mdogo sio kreti libaki empty
Utajikuta umelost bwana mdogo imebaki chenjii
Ukaleta tu madrama kutapika ni upimbii
Tulisema tule nyama ukapiga magimbii.
Ukalainisha na mtindi today vipi kwani
Ukitaka kuleta ugomvi utachapika kwa mlinzi
Pombe nzuri uwenda na mangoma kwenye hewa
see lyrics >>Similar Songs
More from Songa
Listen to Songa Pombe Sio Chai MP3 song. Pombe Sio Chai song from album Starehe Tupu is released in 2021. The duration of song is 00:02:33. The song is sung by Songa.
Related Tags: Pombe Sio Chai, Pombe Sio Chai song, Pombe Sio Chai MP3 song, Pombe Sio Chai MP3, download Pombe Sio Chai song, Pombe Sio Chai song, Starehe Tupu Pombe Sio Chai song, Pombe Sio Chai song by Songa, Pombe Sio Chai song download, download Pombe Sio Chai MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
Colya11
Hemed Adamecrx2
Inaishi siku zote
Colya11
RIP Zizu na machizi wote walosepa namwaga pombe chini wapumzike wakiveeeeshaa.. [0x1f60b]
Husna Nyaur2vm1
mwanang sooooooooooooooooonga enzi za utooooooooootoooooooooooo
Edwin Aronq8hpj
beautiful song
still 2025 wow SONGA [0x1f63f]