- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Sina - Harmonize
...
ujana ni maji ya moto,yashaniunguza mi nateketea
niliwakana watoto wangeniuguza sikutegemea
na kama Dunia tamba langu lishatoboka
Similar Songs
More from Harmonize
Listen to Harmonize Sina MP3 song. Sina song from album Sina is released in 2021. The duration of song is 00:03:11. The song is sung by Harmonize.
Related Tags: Sina, Sina song, Sina MP3 song, Sina MP3, download Sina song, Sina song, Sina Sina song, Sina song by Harmonize, Sina song download, download Sina MP3 song
Comments (24)
New Comments(24)
Cosmas THE LANDLORD
kalo2lqod
nice
John Wangila Makokha g5fvv
father of the music industry
Janet dee42
Ujana ni maji ya moto Yashaniunguza mi nataketea Niliwakana watoto wangeniuguza sikutegemea Na kama dunia tambala langu lishatoboka Sina hata pa kulala nakesha kwa Kimboka Wale marafiki niliokula nao Na kunisifu sasa siwaoni Eti sina kiki siendani nao kwa kuwa sina kitu mfukoni Kama pesa nilipata nikadharau hadi wazazi Nikakesha kula bata najisahau Na kumwaga radhi Oh sina(oh yani sina) Oh sina(wa kunipa imani) Oh sina(oh sina mama) Oh sina Iyeye Oh sina(hata wa kunifariji) Oh sina(kunipa moyo niendelee) Oh sina(Oooh sina mama) h sina Oooiyee Hhmm Asiyefunzwa na mama hufunzwa na dunia Misemo ya wahenga Family ndugu lawama Sikutaka karibia kwangu Nipokee Ponda mali eti kufa kwaja (Hehehe) Kumbe nivukako mbali navunja daraja Jua likizama nafsi nanyongea mawazo Nani nimpe lawama Peke yangu naongea hamnazo Kama pesa nilipata nikadharau hadi wazazi Nikakesha kula bata najisahau Napumua karadhi Oh sina(ooh yani sina) Oh sina(wa kunipa imani) Oh sina(oh sina) Oh sina Iyeye Oh sina(hata wa kunifariji) Oh sina(kunipa moyo niendelee) Oh sina(Oh sina mama) Oh sina Oiye Pesa pesa Pesa Pesa Pesa Pesa Pesa pesa Pesa pesa Pesa mfano wa poto (Pesa pesa) Zinapepea sare ndo sindano (Pesa pesa) Chunga yasije majuto (Pesa pesa) Tena tekea igeni mifano
Luke silwimba Dom dee
nice one
frozen scorpion
[0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e]
Golden G Tz
@Golden g tz,, song kali saana
Golden G Tz
no one knows tommorow Ipo siku am cry ,,
Golden G Tz
Broo harmonize siku mungu akikukumbusha utanikumbuka na mim pia
Farianny hb%
unyama❤️
Atujengelaaah69
king of all
kubwa sana hii