
Rabi Usinipe Mapenzi
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Rabi Usinipe Mapenzi - Zanzibar Taarab
...
ooo rabiy sinipe mapenzi ×3
nawapendwao hakuna×2 oo rabiy sinipe mapenzi, rabiy sinipe mapenzi na wapendwao hakuna×2,
ninakuomba mwenyezi kupenda sitaki tena, mapenzi ya siku hiziiiii hooo,
mapenzi ya siku hizi watu kuhadaiana,
oo rabiy sinipe mapenzi ×2 na wapendwao hakunax2 , oo rabiy sinipe mapenzi.
sisemi kwa uchukivu mambo nimeshayaonax2,. nilitup nyiingi nguvu kwa usiku na mchana alinilipa maovuu hoooo, alinilipa maovu hisani hakuna tena.
ooo rabiy sinipe mapenzi x2, nawapendwao hakuna x2 ooo rabiy sinipe mapenzi.
kwadhati nilimpenda haya nilikua sinax2
jinsi alivyo nitenda nifedheha kubwa sana, niliuguza vidonda hoo, niliuguza vidonda sasa vimekwisha pona,
ooo rabiy sinipe mapenzi x2 nawapendwao hakuna x2 ooo rabiy sinipe mapenzi.
see lyrics >>Similar Songs
More from Zanzibar Taarab
Listen to Zanzibar Taarab Rabi Usinipe Mapenzi MP3 song. Rabi Usinipe Mapenzi song from album Rabi Usinipe Mapenzi is released in 2021. The duration of song is 00:07:40. The song is sung by Zanzibar Taarab.
Related Tags: Rabi Usinipe Mapenzi, Rabi Usinipe Mapenzi song, Rabi Usinipe Mapenzi MP3 song, Rabi Usinipe Mapenzi MP3, download Rabi Usinipe Mapenzi song, Rabi Usinipe Mapenzi song, Rabi Usinipe Mapenzi Rabi Usinipe Mapenzi song, Rabi Usinipe Mapenzi song by Zanzibar Taarab, Rabi Usinipe Mapenzi song download, download Rabi Usinipe Mapenzi MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
Ibrahim Kamanja
Omar Khamisic03td
hakuna wazuri wa wote na hakuna wabaya wa wote bt it's a nice song
Devota Mbiki
nice
What a nice song lyrics ❤️