Nipe Macho
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Christina Shusho - Nipe Macho - Christina Shusho
...
Eh Bwana nahitaji macho ya roho
Maana haya ya mwili yananidanganya
Iko njia ionekanayo sawa machoni pa mtu
Lakini Mwisho wake, ni njia za mauti
Neno lako linasema
Jicho langu likiwa sawa
Mwili wangu wote utakuwa na roho
Nipe macho
Nipe macho nione, macho eh eh, nipe macho nione sawasawa.
see lyrics >>Similar Songs
More from Christina Shusho
Listen to Christina Shusho Nipe Macho MP3 song. Nipe Macho song from album Nipe Macho is released in 2017. The duration of song is 00:05:53. The song is sung by Christina Shusho.
Related Tags: Nipe Macho, Nipe Macho song, Nipe Macho MP3 song, Nipe Macho MP3, download Nipe Macho song, Nipe Macho song, Nipe Macho Nipe Macho song, Nipe Macho song by Christina Shusho, Nipe Macho song download, download Nipe Macho MP3 song
Comments (21)
New Comments(21)
Amos wenga
Amos wenga
Ma meilleure chanson gospel
Zachariah music
Lakini mwisho wake ni njia za Mauti
Ruphy 0maho
This song bless me much ,, God has given you a gift of singing to him.Normally we have to praise powerful and greatest GOD
Liih
Thank u God
Hellenmzba0
good
Mary nyodi bgr8o
amina hii nyimb inanifanya nijihis kam nipo kweny ufalme wa mungu
Minister kilangiih
#mlimanicity tarehe 09/04/2023 @malkiarosemuhando and @christinashusho #MtokoWaPasaka
Minister kilangiih
#mlimanicity tarehe 09/04/2023 @malkiarosemuhando and @christinashusho #MtokoWaPasaka[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
Godfreyxyrct
thenk you mom mungu akubarik
131921259
yaani huu wimbo naupenda sana
Latino Montano
Hii nyimbo ndo ilikua alarm yangu ya kuamka saa 10 alfajiri yaani ilikua inanipa nguvu sana ubarikiwe sana mtumishi kwa huu upako
Ma meilleure chanson gospel