WEMA ft. Kileboy Alimasi
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Hallelujah hallelujah hallelujah
Wema wema wemaaaaa
Nilipotoka ni mbali sana mpaka leo nime fika hapaaa maisha yangu si shwari hiii maisha yangu una ya juwa babaaaa nilipo toka ni mbali sana mpaka leo nime fika hapaaaa maisha yangu sishwari hii maisha yangu una wa juwa babaaaa
Acha nitendee wemaa
Wewe ndiye babaaa unaye stahili kuabudiwa uwe wainuwa wanadamu kwa matendo yako God sifa zote ni zako wema wote eeeeeee
Ni wakoooo
Utuepushe babaaaa ndugu zangu tuwe na wema tuwe na wemaa eheee
Tenda wema usigoje shukrani tenda wemaaa maana mungu ata kuepusha namajaribu ya duniaaaa tenda wema tenda wema tenda wema tenda wemaaa
Tenda mema tenda wema
Acha nitende wemaaaa
see lyrics >>Similar Songs
More from Delphin Official
Listen to Delphin Official WEMA ft. Kileboy Alimasi MP3 song. WEMA ft. Kileboy Alimasi song from album WEMA is released in 2021. The duration of song is 00:02:56. The song is sung by Delphin Official.
Related Tags: WEMA ft. Kileboy Alimasi, WEMA ft. Kileboy Alimasi song, WEMA ft. Kileboy Alimasi MP3 song, WEMA ft. Kileboy Alimasi MP3, download WEMA ft. Kileboy Alimasi song, WEMA ft. Kileboy Alimasi song, WEMA WEMA ft. Kileboy Alimasi song, WEMA ft. Kileboy Alimasi song by Delphin Official, WEMA ft. Kileboy Alimasi song download, download WEMA ft. Kileboy Alimasi MP3 song