![Kiboko (Remix) ft. Khaligraph Jones](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/19/40f43114d62b45aa9bb764144c3f0a78.png)
Kiboko (Remix) ft. Khaligraph Jones
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Kiboko (Remix) ft. Khaligraph Jones - Masauti
...
Heey! Oyee yehee! Masauti Khaligraph jones kenyanboy its goin' down mo(??) verse 1(khaligraph) napenda vile unavodunda, ukitembea unafanya nikutake"take" kweli mola kakuumba, unateketea vile uko lip lazima nkukate sijui ka unakopy, yani me ni nani? mitaani waniita OG Unataka vipi Atoti, iko vipi kwan we mgeni hapa nairobi na jinsi anavo "leaky it" x2, kana kwamba anaifanya ka najig it jig it, huku ni shigidi shigidi, ana digid digid, mashole wengine si hii ni kibiti kibiti sayeeeee! chorus toto kiboko (eeeeh) aah kiboko huyu mtoto kiboko kiboko yan kiboko sijamuona kama ye ye ye x4 yan kibokoo eeeeh Masauti (verse2) nitadunga suti na tai , nimfate nimnong'oneze pole polee mwambie ye ndo nadai ananipa me mawenge ye ndo sere toto la ki nai nai, robbery uswaz kote ye ndo ametawala sioni noma yani mbona so bad akinipa sikatai me nagwala Figa kamchanga yani bara, nyuma vigirigi , kwa shanga kiunoni nasimama wima mpaka alfajiri x2 eeeh mtoto high class, nywele singa singa kimaanga kipare, ya wa kiclassic bila kusita nang'oa nangax2 yan... chorus verse 3khaligrap cheki u already tushanokiana, lenga huyu boi hatatotiana
Similar Songs
More from Masauti
Listen to Masauti Kiboko (Remix) ft. Khaligraph Jones MP3 song. Kiboko (Remix) ft. Khaligraph Jones song from album Masauti is released in 2020. The duration of song is 00:03:43. The song is sung by Masauti.
Related Tags: Kiboko (Remix) ft. Khaligraph Jones, Kiboko (Remix) ft. Khaligraph Jones song, Kiboko (Remix) ft. Khaligraph Jones MP3 song, Kiboko (Remix) ft. Khaligraph Jones MP3, download Kiboko (Remix) ft. Khaligraph Jones song, Kiboko (Remix) ft. Khaligraph Jones song, Masauti Kiboko (Remix) ft. Khaligraph Jones song, Kiboko (Remix) ft. Khaligraph Jones song by Masauti, Kiboko (Remix) ft. Khaligraph Jones song download, download Kiboko (Remix) ft. Khaligraph Jones MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
godwin Kimbpk6b
hear this beat eeeh fire