- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Amefanyaje - Keko Lutheran Youth Choir
...
Sitaki kujua ilikuwaje, sitaki kujua ilikuwa vipi. Ninalojua nilikuwa kipofu sasa naona, ninalojua nilikuwa kiwete ninatembea; Sasa naona ninatembeaa Yesu ametenda amenitendea
Sasa ninao na ninatembea ametenda kwangu atakutendea X2
Amefanyaje? Mimi sijui
Ilikuwaje? Mimi sijui
Ninalojua nilikuwa kipofu sasa nina ona, sasa ninaonaa ooh tena natembea ooh Yesu ametenda, ilikuwa vipi siwezi eleza.
Pasi na mashaka amini leo, Yesu ndiye yule wa jana na leo. Aliyoyatenda zamani na leo yanatendeka
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Keko Lutheran Youth Choir Amefanyaje MP3 song. Amefanyaje song from album Rusha Kombora is released in 2020. The duration of song is 00:05:30. The song is sung by Keko Lutheran Youth Choir.
Related Tags: Amefanyaje, Amefanyaje song, Amefanyaje MP3 song, Amefanyaje MP3, download Amefanyaje song, Amefanyaje song, Rusha Kombora Amefanyaje song, Amefanyaje song by Keko Lutheran Youth Choir, Amefanyaje song download, download Amefanyaje MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
kilinyebesa
mungu azidi kuwapa nguvu katika utunishi wenu msichoke
Edgar Mapundarrxno
good music
mupan
mungu akubaliki
mziki mzuri,sauti tamu na ushuhuda mzuri!! Mungu awabariki mno
miss_lydia
Wimbo mzuri sana Mungu awabariki
Grace Mwakyusa
mziki mzuri,sauti tamu na ushuhuda mzuri!! Mungu awabariki mno
safii Sanaa, mungu awatangulie