Kisimu Changu
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Kisimu Changu - Mzee Wa Bwax
...
ookay chuma kwa chuma Cheche!! amini kwamba mzee wa bwax hapa mtoto wa nje ya ndoa
oohooooo....!! wenasema kisimu changu laini mbili kinanisave bhana wejapokuwa kidogodogo kinanisave bhana we manyau kisimu changu laini mbili kinanisave bhana we japokuwa kidogodogo kinanisave baba
ati!!! masela tambo hilo machizi boti simu hiyo ah new life tambo iloo jack umeme simu iyoo nasema ukichukua simu ya bwax na mziki utazimwaa ..na sema ukichukuwa simu ya wajibu na mziki utazimwaa
usinishike nimelewa jumanakala nimelewa usiniguse nimelewa nawashawasha nimelewa machizi boti...we wanangu nafikiria mwanenu niache pombe eeh!! we Brazil nafikilia mwanenu niache ganja ×2
nikisema niache pombe ah nitakunywa nini na nyie!!! nikisema niache ganja nitavuta nini na nyie!! we masela!! we viroba tupa kule sikuizi mwendo wa safari ×2
see lyrics >>
Similar Songs
More from Mzee Wa Bwax (TZ)
Listen to Mzee Wa Bwax (TZ) Kisimu Changu MP3 song. Kisimu Changu song from album Kisimu Changu is released in 2019. The duration of song is 00:04:01. The song is sung by Mzee Wa Bwax (TZ).
Related Tags: Kisimu Changu, Kisimu Changu song, Kisimu Changu MP3 song, Kisimu Changu MP3, download Kisimu Changu song, Kisimu Changu song, Kisimu Changu Kisimu Changu song, Kisimu Changu song by Mzee Wa Bwax (TZ), Kisimu Changu song download, download Kisimu Changu MP3 song
Comments (8)
New Comments(8)
riqqayah
tetema
riqqayah
kwanini brother
nikisikiliza hii ngoma huwa najikuta nacheza peke YANGU
ikubason
nikisikiliza hii ngoma huwa najikuta nacheza peke YANGU
G.masozy
hatariiiiii
oscard1xm9
fire
Bm pino jr
xo poaw
CherediJoshua
Moooto[0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d]
99445625
tetema
nani mayele