![Siwema](https://source.boomplaymusic.com/group1/M04/AB/71/rBEehlzBfvCAER0EAADgRuzrqcE18.jpeg)
Siwema
- Genre:Soul
- Year of Release:2003
Lyrics
Siwema - Lady Jaydee
...
........................................... Siwema usinipe mateso ya moyoooooooo na sasa nimechoka ukweri nasemaaaaah×2 Nilizani nimepata mpenz wa kweriiiii Nakumbe nimepatikana ya hajauuuu Nia na madhumuni yako nimesha vitambua siwema kaka siwema kakaa aaaaaah Unajitapa mbele ya rafik zako kwamba mimi sina la kusema umeniweka kwenye kiganjaa aaaah unalotoka ndilo ninalofany sababu wewe ni mzuri sana siwezi pata mwingine km wewe siwema kaka unajidanganyaa aaaaah Wema wangu ndio ulio niponza fadhira zote kumbe kwako ni buree malipo yake kunifanya mjinga aah wowoooh hayo yote ni makosa yangu lakini sasa nimejifunza kutokana na makosa na najiepusha nawe mamaaaaah Nimezunguka Tanzania bara aaah Unguja na pemba nimefikaa aaaah Nimewaona vijana wenye sifa aaah Wenye kujipamba wakapambika aaaaaaaaaaaah×2 Kwahiyo nielewe broza sibabaishwi na sura aaaaaah napenda tabia njema aaah (sibabaishwi na sura yako)sibabaishwi na sura aaaaaah napenda tabia njemaa aahaa..... Usifikiri mimi limbukeni sana aah suraaa aaah napenda tabia njema aahaaaaaaaaaaa Nilikupenda kimapenzi sibabaishiwi na sura aaaah napenda tabia njema aahaaaaaaaaa Ukaniona mimi shuga mammy lakooo sibabaishiwi na sura aaaah napenda tabia njema aahaaaaaa Tabia njema ndio siraha yako sibabaishiwi na sura aaaah napenda tabia njema aahaaaaaa Kila mtu atakupenda kakaaah sibabaishiwi na sura aaaah napenda tabia njema aahaaaaaa ....................................
Similar Songs
More from Lady Jaydee
Listen to Lady Jaydee Siwema MP3 song. Siwema song from album Binti is released in 2003. The duration of song is 00:04:40. The song is sung by Lady Jaydee.
Related Tags: Siwema, Siwema song, Siwema MP3 song, Siwema MP3, download Siwema song, Siwema song, Binti Siwema song, Siwema song by Lady Jaydee, Siwema song download, download Siwema MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
eddypzapf
142375215
Siwema
kulwaytfvy
nice
Gody_boy
MaKn [0x1f63b][0x1f63b]
Jdee judy
i love this song
Ayubu Magogo
nice
fantastic song kiukweli