![Usiuseme Moyo](https://source.boomplaymusic.com/group1/M04/AB/71/rBEehlzBfvCAER0EAADgRuzrqcE18.jpeg)
Usiuseme Moyo
- Genre:Soul
- Year of Release:2003
Lyrics
Usiuseme Moyo - Lady Jaydee
...
Umepika chakula huli, huoni chapoa?
Umpweke, mwenye moyo wa duni, twakuita soledad
Kula dada kwani huyo haji, eti yuko na washikaji
Na akirudi matokeo yake ugomvi hauishi
Uko alipo mbali na upeo wa macho yako
Atafanya baya atakalo bila idhini yako
Unangoja na kusubiri, utasubiri sana
Hatokeo kwako machoni hutomuona mwenzio
Uko na rafiki zako, kwako nyumbani kitako
Mkipeana michapo, huku mkicheka na vicheko oh
see lyrics >>Similar Songs
More from Lady Jaydee
Listen to Lady Jaydee Usiuseme Moyo MP3 song. Usiuseme Moyo song from album Binti is released in 2003. The duration of song is 00:05:05. The song is sung by Lady Jaydee.
Related Tags: Usiuseme Moyo, Usiuseme Moyo song, Usiuseme Moyo MP3 song, Usiuseme Moyo MP3, download Usiuseme Moyo song, Usiuseme Moyo song, Binti Usiuseme Moyo song, Usiuseme Moyo song by Lady Jaydee, Usiuseme Moyo song download, download Usiuseme Moyo MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
pKany
wakishua wa tigo
d a d a uyo[0x1f630]
Kimaya255
hii nyimbo haijawahi kuchuja kwangu, nyimbo inaishi milele hii
France Issacka7hpk
zamani sana naikubarii
long love aisee