![Inatosha](https://source.boomplaymusic.com/group1/M04/09/9F/rBEeMVyR_gmAIy48AADKSqiQEPg438.jpg)
Inatosha
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Hata kama penzi maji masafi niacheni nanawa
Maana yamenifikaaa, Yamenifika hapaaa
Ingawa ntakondaaa, Nimeridhia sawaa
Maana kila dakikaaa, Huwa kilioniiiii
Kukikucha macho juu, Nakesha kulilia penzi eeeh
Kama kinda alokosa mama eeh, Mamayee
Afu shida sio heshima tuuu, hata wanaomuingia wengi eeh
Mwenzenu kupenda nshakata tamaa eeeh, Tamaa eeeh
We iache ikabaki kuwa historiaaa, Japo sio kiroho safi
Na ya nini kung'ang'ania biasharaaa, tena yenye hasaraa
Na wala sisemi nitakuchukia, Japo moooyoo hautaki
see lyrics >>Similar Songs
More from Marioo
Listen to Marioo Inatosha MP3 song. Inatosha song from album Inatosha is released in 2019. The duration of song is 00:03:39. The song is sung by Marioo.
Related Tags: Inatosha, Inatosha song, Inatosha MP3 song, Inatosha MP3, download Inatosha song, Inatosha song, Inatosha Inatosha song, Inatosha song by Marioo, Inatosha song download, download Inatosha MP3 song
Comments (200)
Top Comments (2)
fatmadaudy
vokoh masila
I'm afraid to share my thoughts. I'm afraid that nobody will understand me again.>
New Comments(200)
Jijiiii
Nice
182720263
[0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641]
Maryann Mueni Nzioka
wow
Adamu Sanga81ld4
Good song
gama kiwuyo
[0x1f621][0x1f621][0x1f621]
johnwnjrx
good
Marystella Barasabrr7d
mama alizaa chema sauti tu inamvutia mtu na content yenyewe hujaiskia love you brass from kenya
mourine hjljn
love is scum
Salu Dizzo..
dah!
Kelvin Rhude Odinga
marioo tosha tupe zingine kama hizi
Nice>