![Langu Rohoni](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/27/2b2f1368f16d48559eceaf192c232e8f.jpg)
Langu Rohoni
- Genre:Folk
- Year of Release:2020
Lyrics
Hii ndio dunia dunia rangi rangiree
Na watu kwenye dunia aso hili ana lile
Hii ndio dunia dunia rangi rangiree
Na watu kwenye dunia aso hili ana lile
Mdomoni silitoi jamani langu rohoni
Na nyamaza sikosei namuachia Mananii
Sipendi kusema naogopa lawama
Walimwengu nawajuaaa
Japo yatauma mambo yawanadama
Bora kuwapotezeaaa
Sipendi kusema naogopa lawama
Walimwengu nawajuaaa
see lyrics >>Similar Songs
More from Leyla Rashid
Listen to Leyla Rashid Langu Rohoni MP3 song. Langu Rohoni song from album Beautiful Taarab, Vol. 1 is released in 2020. The duration of song is 00:10:07. The song is sung by Leyla Rashid.
Related Tags: Langu Rohoni, Langu Rohoni song, Langu Rohoni MP3 song, Langu Rohoni MP3, download Langu Rohoni song, Langu Rohoni song, Beautiful Taarab, Vol. 1 Langu Rohoni song, Langu Rohoni song by Leyla Rashid, Langu Rohoni song download, download Langu Rohoni MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
Ally Selemanilpejv
Ally Saidyqm2nv
[0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623]
132024449
Hongera leyla kwa taarab tamu sana asante
Suzyrose Samwel
❤️❤️
( ͡° ͜ʖ ͡°)
[0x1f607]
cjumabmcv2
leyla Rashid napenda hii tunzo lako kea dhati, inanipa moyo mtulivu
sawa