- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Yanga - Mzee Wa Bwax (TZ)
...
ok amini kwamba mzee wa bwax hapa. si wanasema wanajiweza we tukutane uwanjani.si wanasema wamejipanga we tukutane uwanjani.si wanasema wanajiweza we tukutane uwanjani.si wanasema wamejipanga we tukutane uwanjani.naliamsha jangwani naliamsha dude. we naliamsha yanga Africa naliamsha dude.we naliamsha masela naliamsha dude.we naliamsha wananchi naliamsha dude.aahh we mkongo wape salamu.we mwamnyeto wape salamu.baba kalijo wape salamu.we niyonzima wape salamu.we jamani wamebana wameachia gsm ameamua. we nasema wamebana wameachia jangwani tumeamua. tunauwasha tunauwasha moto. tunauwasha wananchi tunauwasha moto.tunauwasha tunauwasha moto.tunauwasha yanga Africa tunauwasha moto .si wanasema wanajiweza we tukutane uwanjani.si wanasema wamejipanga we tukutane uwanjani.si wanasema wanajiweza we tukutane uwanjani.si wanasema wamejipanga we tukutane uwanjani.asoepinda yanga jama muulize Ana nin huyo.nasema asoeipenda yanga mama muulize Ana nini huyo. oohh yanga mbele kwa mbele waache wapige kelele daima yanga mbele kwa mbele waache wapige kelele. ooohhhooohh amini kwamba mzee wa bwax hap mtoto wa nje ya ndoa ugoko wa mende biskuti ya chuma we juma maadhi msondo weka. tunataka bao bao bao we mukoko bao bao bao tunataka bao bao bao we faridi bao bao bao. wanangu napiga bao mamama tunataka bao weka tunapiga bao humo humo tunataka bao fei tot unapiga bao mama tunataka bao barama unapiga bao ohohohoooo tunataka bao unapiga bao hooo tunataka bao humo humo we nchimbi. olalalile lala hii ndo yanga bwana timu ya wananchi we engineer msalimie mshindo msola tunakubali boss gsm mwaka huu litakufa jitu instrument
Similar Songs
More from Mzee Wa Bwax (TZ)
Listen to Mzee Wa Bwax (TZ) Yanga MP3 song. Yanga song from album Yanga is released in 2020. The duration of song is 00:03:26. The song is sung by Mzee Wa Bwax (TZ).
Related Tags: Yanga, Yanga song, Yanga MP3 song, Yanga MP3, download Yanga song, Yanga song, Yanga Yanga song, Yanga song by Mzee Wa Bwax (TZ), Yanga song download, download Yanga MP3 song
Comments (16)
New Comments(16)
Mehrandytlx
riqqayah
wana kinondoni sasa vijola jujuu
riqqayah
makolo sasa naona wanalia wakisikiliza hii jombo
Omari Jaribu
unyama sana
Stephano Myenda
[0x1f641][0x1f641][0x1f641]
Nourry Junior
[0x1f60d][0x1f60d]
fred mdemu30o9z
[0x1f641][0x1f641]
Chuga Man3dlxz
uwakika
Rehema Mbitenyai
weka mbali na watoto
yek kayinga
uwakika
innocent bk41n
ndio amen amen amen
Fatma d3x1y
❤️❤️
Omah