![Bila Nguzo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/08/7264f79b822f4b85b0cddef13cacbe3e.jpg)
Bila Nguzo
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Wewe ndiwe Mungu muumbaji
Uweza wako ni wa ajabu
Wewe ndiwe Mungu mpaji
Matendo yako ni ya ajabu
Mipaka ya bahari, uliiweka
Mbingu ukaziumba, bila nguzo
Mipaka ya bahari, uliiweka
Mbingu ukaziumba, bila nguzo
Bila Nguzo, bila nguzo
Mbingu ukaziumba, bila nguzo
see lyrics >>Similar Songs
More from Sara Nyongole
Listen to Sara Nyongole Bila Nguzo MP3 song. Bila Nguzo song from album Bila Nguzo is released in 2020. The duration of song is 00:05:36. The song is sung by Sara Nyongole.
Related Tags: Bila Nguzo, Bila Nguzo song, Bila Nguzo MP3 song, Bila Nguzo MP3, download Bila Nguzo song, Bila Nguzo song, Bila Nguzo Bila Nguzo song, Bila Nguzo song by Sara Nyongole, Bila Nguzo song download, download Bila Nguzo MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
saranyongole
amina nimebalikiwa sana
111231892
amina nimebalikiwa sana
Mungu akubariki zaidi na zaidi