- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Hadithi - Guardian Angel
...
Hadithi njoo
Hadithi njoo
Hadithi njoo
oyaa vicky let go
kuna bwana moja wa kijea alipenda kuomba chakula kwa mama fulani x2 ooh siku moja yule mama alipanga amtilee simu yule wazimu akila afee aondeke kabisa kule njiani alikutana na watoto wa yule mama akawaganinya kile chakula watoto wake wakala wakafa yule wazimu akabaki mzima ishira kwamba unayoyatenda unajitendea mwenywe x2 ukitenda mema unajitenda mwenyewe ukitenda maovu unajitenda mwenyewe x2 salamia watu pesa huisha gari hupata puncture hizi in vitu vya dunia ooh hicho kidole unatoa nyoshea watu vingine vinanyoshea mwenyewe haaax2 nawazungumuza nao juu ya wenzangu haa wanazungumza juu yangu mimi nawazungumza juu ya wengine jamani ooh wanazungumza juu yangu mimi tenda mema ondoka uende hali na uchuki na wewe mpende kwasababu unayotenda unajitendea mwenyewe mmh tenda mema ondoka uende hali na uchuki wewe mpende kwasababu unayotenda unajitendea mwenyewe ukitenda mema unajitendea mema ukitendea maovu unajitendea mwenyewe x2 hadithi njoo x3
by Ivanovic
Similar Songs
More from Guardian Angel
Listen to Guardian Angel Hadithi MP3 song. Hadithi song from album The Journey is released in 2020. The duration of song is 00:03:36. The song is sung by Guardian Angel.
Related Tags: Hadithi, Hadithi song, Hadithi MP3 song, Hadithi MP3, download Hadithi song, Hadithi song, The Journey Hadithi song, Hadithi song by Guardian Angel, Hadithi song download, download Hadithi MP3 song
Comments (37)
New Comments(37)
Moses Nyateko
idemia
one of my favourites
verah 3w5na
[0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641]
Mercy Cheserem3lxro
one of my favorites
valk2qen
wonderful
kenkakaa35s0
tamu sana
flavour 7gmo9
[0x1f618][0x1f618][0x1f618]
flavour 7gmo9
wonderful song
151319973
my favorite sing
Whitman OX
One of best song
Evelyn N w
Ukweli kabisa,kila kitu unachofanya put in mind,unajitendea mwenyewe
faithfionah20
[0x1f641][0x1f641][0x1f641]
my gospel artist